Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Prove beyond a reasonable dought,kwamba wachaga wengi walikuwa wezi.Nachukia sana kauli za ukabila,katika historia sijawai sikia kabila limeshtakiwa kwa wizi,Bali kesi nyingi za wizi anashatikiwa mtu aliyetiwa hatiani kwa tuhuma za wizi zenye ushaidi wa kutosha.Hivyo kuhusisha kwa ujumla kabila lote uwatendei haki ambao sio wezi.
 
Tutaona mengi katika Uchaguzi mwaka huu lakini mshindi anajulikana !


Mkuu kila kukicha ooh..eee...mara lile mara kule.Mtuachie mtu wetu apumue 😀
 

Attachments

  • IMG_20200924_191322.jpg
    23.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200923_170500.png
    111.9 KB · Views: 1
Haitusumbui hao wamekwenda kutafuta ubwabwa tu
 

Hakuna Jipya lolote hapo zaidi ya kiongozi wa kidini Mkubwa kama huyu kutumika kisiasa.
Ana waumini wa Vyama tofauti na kwa Maana hiyo anawagawa Waumini.
Kama yeye binafsi ni mwanachama wa CDM ibaki moyoni mwake ila sio kufanya hivyo kanisani kwenye Umma wa Waumini wa vyama tofauti.
 
Nimefurahi kuona waumini wake wengi wamekataa kuwa nyumbu.

Alitegemea aone kanisa zima likiripuka kwa shwangwe.

Nadhani sasa kaelewa watanzania wanataka nani awaongoze
Wengi walikuwa wakimsikiliza walionyesha wazi kukerwa ila yeye akakomaa tu .wengi hawakuwa na furaha kabisa na Yale mahubiri nyuso zilionyesha wazi
 
Hongereni sana waumini wa kwa Mwingira wengi alipoanza kuongelea Lisu waka mute wakawa wanamwangalia kwa kumshangaa tu kuwa nini hiki anaongea?
 

hio English sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Duniani hakuna mtu amepigwa risasi idadi Ile akapona. Ni muujiza. Mungu amlaani yeyote yule aliyedhamiria na kupanga kumuua huyu mtu. Mtu huyo na wauaji hao walaamiwe na kizazi chao chote. Watakufa kwa mateso makali. Mimi kama Mzazi mshika dini na hofu ya Mungu ikifika hapa naweka uchama pembeni. Bado kura yangu ni kwa chama changu lakini kwa Lisu naongea kama binadamu yoyote mwenye uchungu wa kuzaa na kulea. Utu na Uhai kwanza kabla ya chama.
 
Wengi walikuwa wakimsikiliza walionyesha wazi kukerwa ila yeye akakomaa tu .wengi hawakuwa na furaha kabisa na Yale mahubiri nyuso zilionyesha wazi
Hii video inamshusha Lissu zaidi badala ya kumpaisha.

Supporting Ratio aliyopata Kanisani inaakisi kabisa na huku mitaani. Na hivyo ndivyo Magufuli atashinda kwa 70% plus
 
GWAJIMA na masheik wa bakwata hao hawatumiki?
 
Ndio hoja mlizobaki nazo mazombie ya jiwe.....unamlinganishaje kikwete na hilo dude lenu
 
Anyway, angemsemea huyo inayemtaka ungesa vingine. Ndo silka ya binadamu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kikwete aliyesema pesa ya escrow si pesa ya umma kumlinganisha na hilo unaloita dude ni kutowatendea haki wote wawili.
We zombie lake huwez kuongea vinginevyo...hakuna aliyepiga hela km hilo dude lenu tangu tupate uhuru...huwez kuelewa umepofushwa na alichokupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…