Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.

Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Muda wote umeibukia huku!!! He is a victor. You can not victimize him.
 
Hakuna mkabila kama Magufuli nchi hii.

Mashekhe feki na wachungaji feki walipofanya kongamani la kumwimbia mfalme Yesu wa chattle dodoma mlisemaje?? Leo kibao kimegeuka lazima mlale na viatu.
 
Muda wote umeibukia huku!!! He is a victor. You can not victimize him.
He is a failure, you cannot make him victor. Mark my word, he will never ever become even close to becoming the president of URT, after 2020 he will be a famous begger in Singida.
 
He is a failure, you cannot make him victor. Mark my word, he will never ever become even close to becoming the president of URT, after 2020 he will be a famous begger in Singida.
Meddling words from jiwez witch doctor....get lost
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Ni dalili mbaya kwa wananchi wa kawaida. Sio hali ya kushangilia kuona watu wanakosa sadaka.

Amini nakuambia, hali za watu zinazidi kuwa ngumu.

Watawala waendelee kushupaza shingo zao
 
Huyo mzee lazima aimind ccm , walivyoizima mkombozi bank huku wakiwaacha wahusika lazimi ilimuuuma sana. Sasa akae mkao wa majibu, clip ikiwa viral, itatafutwa Efatha au kile kijiji anachojenga Kibaha
 
Back
Top Bottom