Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.

Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
Una mawazo ya kizamani sana, elimu haija kusaidia. Wachaga sio wezi na wewe soma. Kwa taarifa yako tu elimu ilitangulia uchagani kabla ya
ujio wa fedha
 
Kuna mgombea kaweka mabango nchi nzima hadi vyooni lakini bila wasanii atabaki mwenyewe jukwaani,hana Sera kabakia kukata viuono jukwaani
 
Hakika Tundu Lissu, ni muujiza unaoishi

Wananchi wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa, yatupasa tukampigie kura ifikapo hapo Oktoba 28, ili aigeuze nchi yetu kuwa ya maziwa na asali
 
Aaah wapi laana ipo soma Kumb 28:15 mpaka mwisho wa hiyo chapter ndiyo ujue maana ipo tena mbaya.
Ndiio maana Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
HAPO ulivyosomaa umeona Kuna sehemu sisi Kama binadamu tunaruhusiwa kulaani?
Soma vizuri, Tena usisome mstari mmojatu oma mpaka 28:20
Kama huelewi muulize hata mchu gani wako
Maana kuielewa biblia nqyo NI neema ya Mungu mwenyew
 
Narudia aliyempiga risasi Lisu na wote waliopanga mauaji yale walaamiwe wao na vizazi vyeo mpaka kizazi cha nne.
 
Mtume na nabii Mwingira ametoa unabii wake kuhusu Uchaguzi huu wa 2020 Oktoba.

Moja ya pointi kubwa aliyoizungumzia ni kuwa mshindi hawezi kuzuiwa, kama Mungu alimpa ushindi basi atashinda.

Japokuwa ametumia kiingereza huku ikitafsiriwa lakini ujumbe huu unaweza kuwa wa kwanza kwa Kanisa la Kipentekoste hasa makanisa yenye huduma za mtu binafsi.

View attachment 1578719
View attachment 1578721
Ukweli ni kwamba Lissu hawezi kushinda uchaguzi wa mwaka huu.

Najua ni ngumu kuamini maneno yangu, ila yakumbuke maneno yangu baada ya uchaguzi
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Eti Magu endelea kuwanyoosha
October 28 tunampandisha Ndege kum dampo Chattle na kumpa stahiki zake kama Mstaafu
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Cool down!! Mbona kama ume panic!! Hahaaa mwaka huu kazi mnayo huku mahela naye kapanic, kumbe watz, wakati mwingine nao hawafai, mliwaona mazezeta tu miaka mitano!! Kumbe walikuwa wamelazimishwa kuwa hivyo!! Mwezi mmoja tu mmetepeta!!!
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu ( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor (mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Duh, huu uzi ulinipitaga wapi maana ndo tu naiona leo wakati ni ya mwaka jana 2020...!!

Hawa ndiyo watumishi wa Mungu jasiri wanaoweza kusema kile watawala wasichopenda kukisikia kwa manufaa yao....

Na bila shaka, TUNDU LISSU alishinda uchaguzi mkuu wa 2020 lakini watawala wakafanya kosa baya na kubwa la kugeuza matokeo na kumpa ushindi "fake" John P. Magufuli...

Na miezi mitatu baada ya uchaguzi ikatolewa "warning call" kwa mdhulumati na engineer wa uhalifu wa kupora haki ya watu ya kuchagua kiongozi wampendae kwa kuondolewa uhai wake (kifo)...

Na waliobaki na kushiriki uhalifu huo, kila mmoja atapata haki yake kwa wakati wake hapa hapa duniani...!
 
Kupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
images (3).jpeg
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
Tuliza makalio wewe, mitano Tena ilishashindikana lala
 
Back
Top Bottom