Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 60ml, sasa naomba unipe IDADI YA WATU KUMI tu ambao wameuawa ktk utawala wa JPM
 
 
Ana hasira sana baada ya kale kabenk kake uchwara kufilisiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unless na wewe ni mmoja wa vikundi vya utekaji na wauaji. hivi kwa umaskini wa wa kiwango chako wewe unaita kabenki kake, you can't be serious. Maneno aliyoongea huyu bwana kwa wenye akili Timamu yanatafakarisha sana watu. kama hujui Duniani kote yalikotokea machafuka ni kwasababu serikali zilishindwa kuaddress changamoto kama hizi. ni sawa na mbuni kuficha kichwa chake kwenye mchanga wakati mwili wote uko nje. Na bado watu wataendelea kutema sumu kama hizi kadri siku zinavyosonga.
 
Mafisadi wanataabika sana
Hii ndiyo Mbinu aliyokuwa anatumia Mwendazake kuwaonea na kunyang'anya mali wale aliyotaka kuwashughulikia kwa kuwambikia neno la mafisadi na bahati mbaya waTz wenye akili chache kama za kwako walikuwa wakishangilia na kubariki vitendo vya kinyama vya aina hii.
 
Je
Chagua moja, kujenga hoja au Kutetea unachokiamin
Una ushahid gan kuwa huo mkono wa albino ni wa kubambikiwa ama vp..

Huu mjadala uache kwa watu huru wa mawazo wew tiyari una hukumu mkononi
 
Mahakama hiihii iliyo muhukumu sabaya na mkasema mahakama iko huru ndo itakayo kupa hako yako.
Lete sehemu niliyosema kuwa mahakama iko huru toka siku niliyojiunga jf ukinionesha nitakutumilia 200k.

Hayo ya akina sabaya watajuana na waliomfunga na aliyowadhulumu kama amaeonewa ashukuru Mungu lakni hakuna mahakama huru chini ya utawala wa kishenzi kama huu uliopo na uliopita.
 
Ambacho sielewi ni wanafanya haya wakidhani wanampigania mtu ambaye, kama unaamini, ameshapata hukumu yake. Kwa hiyo aidha unamtetea mtu aliye mbinguni asiyehitaji utetezi wako, au unatenda dhambi kutetea dhambi za mtu aliyekwishaamuliwa kwenda jehanamu. A fools errand either way if you ask me.
 
Ndio anaongea sasa hv….apige kimya au la sivyo tutamuweka kwenye kundi la wahuni..#kataawahuni
Unataka kusema ulitaka aseme nini kama dada aliyemtonya kuhusu kutaka kuuliwa kwake ameuwawa yeye angepona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…