abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hyo ndyo sifa ya mwanaume rijali bhana
Anapenda sana k tofauti tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapenda sana k tofauti tofauti.
😀😀😀Hyo ndyo sifa ya mwanaume rijali bhana
Basi nadhani na Nabii Mwingira ana kitu hatukijui juu yake. Maana hata JK hawakuwa wanaelewana. Alipokuja Dkt Magufuli kipindi cha kampeni alimdhihaki sana hicho kipindi na aliwatabiria waumini wake kusema Dkt Magufuli hatoshinda uchaguzi ila Dkt Magufuli akashinda. Nadhani Nabii atakuwa na kitu na serikali ambacho si chema anakijua ila wananchi hatujui. Pia serikali imuue kwa lipi??? Nadhani Nabii atakuwa na ugomvi wa makanisa yao yaani wao kwa wao ma nabii na maaskofu wanatafutana ili kuzimana kasi ya waumini. Dkt Magufuli hakuwa mtu wa tabia ya kuua watu.
Akamzalisha na kumzalisha mke wa mtu. Alijiona Mungu sana yule boya
Mkuu aliwahi kukuomba K?
Regase n nn boss... shabiki maandaziDuh!Hii "regase" kuilinda "isijichafue" ni kazi kweli!🤔
Sasa wewe kazi ya kwanza ya Mke nini !.
EtiMwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
Serikali wakuamulie wakuuwe dk 0 tuu ushapote aache mambo ya ajabuMwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
Soma ilivyoandikwa.Hiyo "legacy" unayoitaka iandikwe kaa nayo kwenye dictionary.Unaijua "vieite"?Au unataka umjue na "intaplinywaa"?Regase n nn boss... shabiki maandazi
Kwahiyo kama magu hakuwa dhaifu ndio atumie Urais wake kwa kuteka,kuuwa,kutukuna watu, kufilisi watu,kuvunjia watu makaazi yao n.k?
Ndio katiba ilivyomuelekeza afanye hvyo?
Magu alikuwa mshenzi.
Hii hoja yenu ya "kwa nini anaongea sasa" ni ya kipimbi sana, hivi wahenga walivyosema "wasi wasi ni akili" uliwaelewa kweli?Ndio anaongea sasa hv….apige kimya au la sivyo tutamuweka kwenye kundi la wahuni..#kataawahuni
Naskia anawala kishenzi kondoo wake.
Lisu ni mabeberu
Hata Savimbi alipokufa watu MAELFU walijitokeza ili kushuhudia kama kweli amekufa, iko hivyo.Uliona lile nyomi lililojitokeza kumuaga na kuomboleza kifo cha mpendwa wao Magufuli kila msafara wake ulipokuwa ukipita..!???
Mmezeshwa na kukaririshwa pumba tu
Tangulia weweNaww kaliwe
Malaya kama unamhonga vizuri mbona lazima akutonye kama kuna soo??Mwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
Ndugu, huyo NDULI BABA YENU alikua mshenzi, muuaji na katili kweli kweli. HASAFISHIKI.Kama umeshindwa kutaja watu angalau KUMI tu kati ya Watanzania 60ml (ambao ni sawa na 0.00000017% ya Tz total population) waliouliwa utawala wa Magu basi huna HOJA bali una VIOJA
Tafuta mwingne wa kudebate nae, siwezi bishana na mtu asiye na data bali kukaririshwa na kumezeshwa pumba na mashudu
[emoji3][emoji3][emoji3]