Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Acha hizo jiwe alikuwa Iblis
Basi nadhani na Nabii Mwingira ana kitu hatukijui juu yake. Maana hata JK hawakuwa wanaelewana. Alipokuja Dkt Magufuli kipindi cha kampeni alimdhihaki sana hicho kipindi na aliwatabiria waumini wake kusema Dkt Magufuli hatoshinda uchaguzi ila Dkt Magufuli akashinda. Nadhani Nabii atakuwa na kitu na serikali ambacho si chema anakijua ila wananchi hatujui. Pia serikali imuue kwa lipi??? Nadhani Nabii atakuwa na ugomvi wa makanisa yao yaani wao kwa wao ma nabii na maaskofu wanatafutana ili kuzimana kasi ya waumini. Dkt Magufuli hakuwa mtu wa tabia ya kuua watu.
 
Huu ujinga wa mataga watakufa nao,yaan wao ushenzi wa kiongozi wao wanaona uimara hakika hawa mataga yatakufa yakiwa majinga
Kwahiyo kama magu hakuwa dhaifu ndio atumie Urais wake kwa kuteka,kuuwa,kutukuna watu, kufilisi watu,kuvunjia watu makaazi yao n.k?

Ndio katiba ilivyomuelekeza afanye hvyo?

Magu alikuwa mshenzi.
 
Kama umeshindwa kutaja watu angalau KUMI tu kati ya Watanzania 60ml (ambao ni sawa na 0.00000017% ya Tz total population) waliouliwa utawala wa Magu basi huna HOJA bali una VIOJA

Tafuta mwingne wa kudebate nae, siwezi bishana na mtu asiye na data bali kukaririshwa na kumezeshwa pumba na mashudu
Ndugu, huyo NDULI BABA YENU alikua mshenzi, muuaji na katili kweli kweli. HASAFISHIKI.
 
Back
Top Bottom