kaponea chuplichupli vinginevyo saa hizi angekuwa na Yesu?Noma sana. Askofu kaponea chupli chupli mara tatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaponea chuplichupli vinginevyo saa hizi angekuwa na Yesu?Noma sana. Askofu kaponea chupli chupli mara tatu?
Matapeli hayo sshv hata cdm mnajua umuhimu wa jiweKweli Jiwe alikuwa shetani!
Yule mpumbavu aliitwa mheshimiwa mungu na Prof Kabudi akadhani kweli yeye ni mungu. Na Sheikh wa BAKWATA mkoa Alhad akasema Magufuli ni maarufu kuliko Yesu na Muhammad.NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."
5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."
26/12/2021.
Stay tuned.
View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Pia, soma:
Polisi Dar yampa masaa 24 Askofu Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano
Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata
Ushoga wamliza kwa uchungu RC Makonda kanisani Efatha kwa mchungaji Mwingira
Katika ibada inayoendelea kanisa la mchungaji Mwingira Mkuu wa mkoa RC Makonda Amelia kwa uchungu mbele ya madhabau kutokana na matukio mabaya yanayoendelea mkoani Dar ess salaam hasa suala la ushoga === Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo amehudhuria ibada ya kwanza kwa Askofu Mwingira DSM...www.jamiiforums.com