Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:

1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."

2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu."

3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."

4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."

5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."


26/12/2021.

Stay tuned.

View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.

Pia, soma:

Polisi Dar yampa masaa 24 Askofu Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano

Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Yule mpumbavu aliitwa mheshimiwa mungu na Prof Kabudi akadhani kweli yeye ni mungu. Na Sheikh wa BAKWATA mkoa Alhad akasema Magufuli ni maarufu kuliko Yesu na Muhammad.

Mungu wetu aliyehai akamuonyesha kuwa Magu si chochote, akamtupia mafua ya COVID-19 tu kwisha kazi
 
Back
Top Bottom