Ile issue ya Lissu "wahuni" waliicheza kiprofessional sana kuhakikisha tukio zima linawaaminisha watu uhusika wa serikali ya JPM.
-saa saba MCHANA,
eneo liwe la serikali linalolindwa na CCTV camera,
ondoeni Camera zote na walinzi pia.
Hakikisheni indicators zote zipoint serikali ya JPM kuhusika.
Halafu baada ya tukio shinikiza Interpol waje wafanye uchunguzi.
"Wahuni" wamefanikiwa kuwaaminisha wengi (including Lisu mwenyewe) kuwa JPM ndiye aliyetaka kumuua.
Lakini hata kama kweli JPM angetaka kumuua Lisu, hivi kwa intelligence ya kawaida ndo angefanya kijinga vile?
Yaani wafanye kweupe vile huku wakihakikisha indicators zote zioneshe serikali inahusika?
Hakuna serikali ya kijinga hivo Tanzania.
Na Samia alishawaambia "serikali ya Tz haiwezi kufanya tukio kizembe vile".