kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Jina lake libarikiweTunacho weza kusema ni MUNGU FUNDI!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake libarikiweTunacho weza kusema ni MUNGU FUNDI!!!
Anataka tu umaarufu, kwa lipi auawe na serikali, arudisha pesa alizoiba kupitia benki yake pale Mwenge, aache kuwatoza waumini wake anapowalazimisha walale kule Visiga na arudishea mashamba aliyopora kule Sumbawanga, huyu ni tapeli wa kidini sawa tu na akina Bushiri wa Malawi na wengineo wengiNUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."
5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."
26/12/2021.
Stay tuned..
View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Pia, soma:
Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata
Ushoga wamliza kwa uchungu RC Makonda kanisani Efatha kwa mchungaji Mwingira
Katika ibada inayoendelea kanisa la mchungaji Mwingira Mkuu wa mkoa RC Makonda Amelia kwa uchungu mbele ya madhabau kutokana na matukio mabaya yanayoendelea mkoani Dar ess salaam hasa suala la ushoga === Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo amehudhuria ibada ya kwanza kwa Askofu Mwingira DSM...www.jamiiforums.com
Nchi hii mwenye nguvu ndiye anafanya analoweza so issue za dhuluma huyo jamaa siyo wa kwanza labda kama una kisasi naye.Mimi siyo Mungu na siyajui ya sirini lakini Mwingira ni muongo na mtafuta huruma.
Unatambua dhuluma ya mashamba ya watu aliyopata kufanya?!
Ipo siku atakutabiria na wewe!Hakika nampenda huyu Mzee, alimtabiria Magufuli kifo na kweli Magu hakukatiza miezi 6 akavuta kamba
Kwani muhuni haruhusiwi kulalamika?if you are neutral in situations of injustice,you have chosen the side of the oppressor.Kukemea nini dhuluma huku yeye mhuni mkuu, Mimi sio kahaba useme anaweza ni fata, tumieni akili nyie sio mihemko kuwa mtumishi hakukupi utakatifu, nasema hao wangemtaka akiisha asubuhi tu kwani gwajiboy na yule mdada si alitumiwa akamu record hukuona gwajiboy akihamia ccm.
Kwa hiyo , kuwepo hayo ndio rais aamue kutumia sheria anazoziona yeye na sio sheria zinazomuongoza?hizo ni siasa za miaka ya 40, huko, na sio dunia hii, haya ufisadi aliumaliza?hao wa vyeti fake wote walifukuzwa?kiongozi unakuwa na double standard!!lile lilikuwa genge la wadhurumaji tu, na ndio sasa wana haha, na hii nchi isingekuwa na kutanguliza chama mbele, sasa hivi genge kubwa sana la wahuni lingekuwa segerea, kuungana na sabaya!!ila MUNGU FUNDIJe unakubali kuwa tz ilikuwa na changamoto ya ufisadi,vyeti feki ,wauza madawa ya kulevya wizi wa mali za umma nk?
Dadangu ni mama yako.Kampitia dadako
Bahati nzuri huyu alikuwa muwazi toka enzi za jiwe na hakumuogopa na ndio malipo yake hayo!!sio kakobe na gwajima, jibu hoja zake!!kubalini tu shetani lile limeshaondoka sasa na nyie mteseke kwani mlijua kabisa jamaa ndio kafika, na nyie ni kuimba mapambio tu kuwa atake asitake"sasa MUNGU KACHOMOA FUSE, MNASEMAJE?Anataka tu umaarufu, kwa lipi auawe na serikali, arudisha pesa alizoiba kupitia benki yake pale Mwenge, aache kuwatoza waumini wake anapowalazimisha walale kule Visiga na arudishea mashamba aliyopora kule Sumbawanga, huyu ni tapeli wa kidini sawa tu na akina Bushiri wa Malawi na wengineo wengi
Swali Hilo linatokana na maneno yake leo
Tuliza akili na viungo vyako vya mwiili na punguza mizuka unapoandika hapa JF.Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?
Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.
Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!
Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Hivi unajua hata sababu ya mashamba yale kuchomwa na wananchi? Au hata hujui nini kilimsibu kwenye yale mashamba unakurupuka tuAlipiga sana kelele, na ndio maana hata mashamba yake kule Rukwa, alifanyiwa sana figisufigisu, na awamu ya tano!!ki ukweli ile haikuwa serikali kabisa, na ndio ndio maana watesi hao sasa wanapata shida sana kwani hawakuamini kama ingeweza kumalizika kirahisi hivyo.
Nilitaka nami niulize swali kama hilo, nashukuru umenitangulia[emoji23][emoji23]Mkuu aliwahi kukuomba K?
[emoji23][emoji23]mamangu sio mjinga ka mamako kuwa na heshima acha kuingiza wazazi jiheshimu mxiiiewDadangu ni mama yako.
Usihangaike na Mazwazwa ya CCMWeye mwenye mbichwa mkubwa kama radio bendi moja una-quote hizo akili zangu ili ugundue makinikia?
Na yeye aache uhuni mkuu maana sio msafi kunyooshea wengine vidole, pia Kuna maelfu ya mashamba alizulumu Raia huko Sumbawanga, asijifiche kwenye kichaka Cha dini kutafta huruma aisee.Kwani muhuni haruhusiwi kulalamika?if you are neutral in situations of injustice,you have chosen the side of the oppressor.