Siku hizi ni askofu?sio nabii na mtume?
Viongozi wa dini subiri waumini waje kwenu kuungama mambo ya siasa yana majukwaa yake
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidiKumbe ni dili la walokole wameungana na waprotestanti? Shughuli mwaka huu; na tuone kama kura zao zitatosha