Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

erick13

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
163
Reaction score
59
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.

Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)

Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.

jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi
 
Attachments

Viongozi wa dini subiri waumini waje kwenu kuungama mambo ya siasa yana majukwaa yake
 
Huyo ni Askofu na Nabii wa Mungu maneno yake siyo ya kupuuzawa
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?

pengine ni kwa sababu wamekuwa wakitoka huko...mentality za wais;amu ni kuwa mkristo ni mwislamu na wakatoliki hudharau wakristo wa madhehebu mengine
 
Yeye amepokea maono toka mbinguni na maono hayana maswali..yanatakiwa kupokelewa hivyohivyo kama yalivyoshushwa...ha ha haaa
 
Kumbe ni dili la walokole wameungana na waprotestanti? Shughuli mwaka huu; na tuone kama kura zao zitatosha
 
Naona amejiaminisha kabisa kwamba mamvi anashinda.
 
Kumbe ni dili la walokole wameungana na waprotestanti? Shughuli mwaka huu; na tuone kama kura zao zitatosha
Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
 
kachangia au anaongea tu

mwambie kuna

m-pesa; tigo pesa; ya changia lowasa. mafuta yamekata
 
Asikofu kayaona hayo nahuo ndiyo ukweli wenyewe kua ccm chaaalii
 
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?

Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?

Kaka hashimu Rungwe ni muislam na ni mgombea pia huyu ni Nabii wa MUNGU hakika kabla ya kutamka maneno haya ni wazi kayatafakari kwa mapana na marefu ukizingatia yeye ni mtumishi wa MUNGU.
 
Back
Top Bottom