Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

Viongozi wa siasa wanapaswa kuiba kura, kuonga mabilion kwa wananchi ili kulinda aman ya nchi.....
 
umesahau kuwa wanatakiwa kusimamia HAKI

Kusimamia haki ni pamoja na kuhakikisha waumini wanakuwa na haki ya kuwapigia kura ili kuwapata maaskofu wao akiwemo yeye badala ya kuletewa tu.Hilo kafika nalo wapi?
 
Mbona ana jina la kitusi after all biblia kama imemshinda ataweza siasa?

una laana ya ubaguzi wewe. kama waha na wahangaza ni watusi, wafukuzeni warudi kwao. ifufueni ile kampeni yenu.
 
Wacha kutishia watu mkuu hapa ni jukwaa huru,mambo ya mauaji yanatokea wapi?watanzania wa leo siyo wa kuwatishia nyau.
 
Wacha kutishia watu mkuu hapa ni jukwaa huru,mambo ya mauaji yanatokea wapi?watanzania wa leo siyo wa kuwatishia nyau.

Sijamtishia hapa mtanzania yeyote nimemwambia NIWEMUGIZI mwenye jina la kitusi toka rwanda
 
Kusimamia haki ni pamoja na kuhakikisha waumini wanakuwa na haki ya kuwapigia kura ili kuwapata maaskofu wao akiwemo yeye badala ya kuletewa tu.Hilo kafika nalo wapi?

haki hutambuliwa na katiba, sasa utuambie ni kanisa gani limeainisha hiyo haki ya kumchagua askofu kwenye katiba yake.
 
Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge

Vile vile hilo Jimbo la Rulenge liko karibu sana na Burundi na Rwanda, sitashangaa kusikia kuwa huyu askofu siyo raia bali ni Mlowezi. Yeye anaongea kama askofu, tunaomba tupate msimamo wa Kanisa Katoliki hapa nchini kupitia Muadhama Kadinali Pengo na siyo huyo kidampa tu. Ameshindwa kuishi huko kwao, tumemfuga kama mbwa halafu anataka kutuletea vuruguru za kidini hapa. Hata mbwa akipata kichaa na kung'ata watoto ni sharti afe.
 
Kura ya Siri au Wazi?
 
Wewe kweli mpumbavu inatosha tu kukwambia hivyo.
 
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

We Kichwan Wenyewe Hawamo,
 
"Muwe waangalifu baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi tu si za kiroho" Samuel Sitta
 
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake

Naona sasa rasmi umeungana na baba yako kutukana watumishi wa Mungu. Laana iwe juu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…