Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya


Ndani ya ccm hakuna mkristo wa kweli wote ni wanafiki mkuu. Imani na unafiki havichangamani hivyo huyo sio mkristo mwenzio usibabaishwe na jina kisa anaitwa Paulo.
 
Chabruma aka MAKONDA we mpuuuzi saana,kwa hiyo viongoxi wa dini wasikemee upuuz waendelee kuhubiri Aman???hovyo kabisa!!
 
Mauaji unayaongelea wewe yeye amesema anapinga katiba. Sasa kwakuwa CCM ni vipofu mnakimbilia mauaji ili kutishsa watanzania waoga na wapumbavu. Kupinga katiba kunahusiana vipi na mauaji kama sio ukenge huo?


Huyo askofu atakuwa alishiriki kuandika ule waraka uliosmwa Bungeni. Waumini tutawapuuza viongozi wa dini kama hao.
 
Chabruma aka MAKONDA we mpuuuzi saana,kwa hiyo viongoxi wa dini wasikemee upuuz waendelee kuhubiri Aman???hovyo kabisa!!

mkuuupuuzi ni upi? hata kule BMK kuliwa na viongozi wa dini, tena wastaafu ambao wamelifikisha taifa hapa kwa amani, hawa viongozi wa aina ya NIWEMGIMIZI ni wanaharakati tu, na kamwe hatutakubali watupeleke huko.
 
Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.

If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.

go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!



Naaaam! Hili jambo sassa linaelekea pazuri!
 

Usiwe narrow minded kiasi hicho unajidhalilisha. Knowing something doesnt mean you have experienced it. Ulishaona katika kitabu gani cha dini viongozi wa dini wanapigiwa kura. Viongozi wa dini ni wateule na majukumu yao ni kuwaongoza waamini kimwili kulingana na utaratibu waliojiwekea. Sasa kwa taarifa yako hao viongozi wa dini kuna wakati walikuwa pia viongozi wa serikali na majeshi.
 
Ama kweli pesa mwanahatamu, Juzi tu LOWASSA ametoka kuwachochea viongozi wa dini huko Kagera, tayari wameapa kuwashawishi waumini kuitakaa Katiba? kazi mbona tunayo watanzania wazalendo.
 
mimi ni mkatoliki na naungana na wewe namna ambavyo viongozi wetu wanavyopatikana, lakini kwa hili alilojitokeza na kusema atahakikisha waumini tunapiga kura ya hapana kuikataa Katiba mpya ni kinyume kabisa na maelekezo ya Katisa Katoliki.
 
Sasa hata wakiwachochea wakatae katiba,then what?.
huyu mnyarwanda anataka kuvuka mipaka
 
.! Namuunga Mkona Askofu

Mungu hawezi kukubali hili analolisema Askofu, huku ni kuhatarisha amani na upendo, mambo ambayo Kanisa Katoliki linatuelekeza kuyaishi.
 
Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.

If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.

go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!
huyu anayemtumikia MPINGA CKISTO(ANTCHRIST) Wala hatunyimi usingizi. alitaka katiba ilipe kanisa katoliki mamlaka ya kutuchagulia raisi?? avue kanzu avae gwanda kama mwenzie mzinif....u wa karatu. halafu tukutane mtaani tumsambaratishe vibaya
 
Baba askofu Niwemugizi,naweka tofauti zangu zote na wakatoliki kando,nakuunga mkono kuhusu hilo,na wakristo wengi tukiwa sehemu ya watz wanayoitakia mema nchi yetu,tutapiga kura ya Hapana.Tutaungana kama watz,wote wakristo,waislam,wapagani,kupinga upuuzi huu wa watu wanaokula na kushiba na kuvimbewa hadi akili zinawapotea!

Siwalaumu lakini!Ukishiba kupita kiasi,tumbo likawa kubwa,huuoni utupu wako pale chini,na akili zako hivyo hivyo,hazioni utupu wake!No wonder jamaa wanafanya sherehe Dodoma kwa kituko kama hiki cha maandiko ya Sita(sisemi katiba maana haina heshima ya kuitwa hivyo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…