Tutamrudisha kwao!!!
.!... Kwan Kwao Ni Wapi. Unajifanya Wewe Ndo Mwenye Hii Nchi? Acha Upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutamrudisha kwao!!!
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
Baba askofu Niwemugizi,naweka tofauti zangu zote na wakatoliki kando,nakuunga mkono kuhusu hilo,na wakristo wengi tukiwa sehemu ya watz wanayoitakia mema nchi yetu,tutapiga kura ya Hapana.Tutaungana kama watz,wote wakristo,waislam,wapagani,kupinga upuuzi huu wa watu wanaokula na kushiba na kuvimbewa hadi akili zinawapotea!
Siwalaumu lakini!Ukishiba kupita kiasi,tumbo likawa kubwa,huuoni utupu wako pale chini,na akili zako hivyo hivyo,hazioni utupu wake!No wonder jamaa wanafanya sherehe Dodoma kwa kituko kama hiki cha maandiko ya Sita(sisemi katiba maana haina heshima ya kuitwa hivyo).
Mkuu,,,naww unakuwa km mgeni humu jukwaani unaletaje habari isiyokamilika?
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Huyu askofu mtu hatari sana.
Sioni kitufe cha Like Mkuu, Pokea Like x1,000... Na Wakatoliki tukisimama bega kwa bega na Waislamu ndipo serikali itakapojua waamuzi ni wananchi wala sio kina Makonda.
Mungu hawezi kukubali hili analolisema Askofu, huku ni kuhatarisha amani na upendo, mambo ambayo Kanisa Katoliki linatuelekeza kuyaishi.
Huyo askofu atakuwa alishiriki kuandika ule waraka uliosmwa Bungeni. Waumini tutawapuuza viongozi wa dini kama hao.
Nimejipa shughuli ya kuwajua East African Eagle na Chabruma. Nitawajua tu wao binafsi au kundi linalotumia ids zao. Wapo wenzao MSALANI faizaFox ambao michango yao yanaelimisha kiasi kuliko matusi ya hawa tai.
... Jisemee Wewe Mwenyewe, Mimi Mbona Ni Muumini Wao Lakini Nawaunga Mkono? Hiyo Ni Katiba Yenu Ccm
ww huwezi kuwa mkatoliki,tulia kabisa!
ww huwezi kuwa mkatoliki,tulia kabisa!
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
On top, Kanisa linamjenga binadamu kimwili na kiroho huwezi kuhudumia roho ya mtu anayekandamizwa effectively. Ndio maana wanajenga shule hospital n.k...Mbona wakifanya hayo hamsemi wameingilia siasa? Shame upon you nendeni vijijini mkaendelee kuwadanganya wabibi wauza tumbaku na ugoro.
Aliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
Wewe kuku utaendelea kuvaa viatu sana, ulishafanywa kuwa msukule.