Chakulinga
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 142
- 182
Kwa maana hujaona Askofu alichokemea? Huhitaji kuwa mwanasiasa ndo ukemee uovu!Askofu km anapenda siasa achukue fomu ya udiwani tuje tumnyooshe kwenye kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Mweyekiti wa chama chetu katufundisha kusifiwa tu.Wakisifu mnawapenda,wakiwaambia ukweli mnawadhihaki.
Mlisema wawaombee wakaomba,hawataki kushiriki.uonevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hakika ni mwanachadema? Ana cheo gani ndani ya chadema? Kwa nini unadhani ni mwanachadema na sio mwananchi tu wa kawaida aliyechoshwa na utawala huu? Maswali niliyouliza huwezi kuyauliza kuhusu polepole kwa sababu polepole sote tunamjua ni kiongozi mwandamizi ndani ya ccm. Ni msemaji wa chama!Usiwe serious sana, kuna mwanachema mmoja humu alikuwa anaomba corona ije Tanzania..na bado alijetetea na lengo lake au mawazo yake ilikuwa CCM iathilike, kwa hiyo na huyu kuwafananisha CDM na corona hana tofauti na yule...au mm sijaelewa? Wote hawa wanafanya mzaha na Corona
FB page yake, siyo?
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.
Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?
Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!
Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.
Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).
Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Source: FB page yake
My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
Huyu hajitambui tu! Wansiasa wanapoomba kusaidiwa na viongozi wa dini, wanachokitaka ni wafuasi wa dini hizo, siyo nguvu ya kiongozi kama Bagonza anavyodhania anayo.

Mnamo mwaka 1992 Bwana Mugesera aliyekuwa mwanasiasa maarufu nchini Rwanda aliwaita watutsi "mende". Wote tunajua kilichotokea mwaka 1994 nchini mwake. Kuna umuhimu kwa Mheshimiwa Polepole kutoa ufafanuzi wa kauli yake ili watu wenye uelewa mdogo wasione kama anawachochea wawashughulikie wapinzani kama ambavyo wanavyotakiwa kushughulikia Corona.
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana kwenye salamu zake baada ya ibada ya kumsimika Askofu Ludovic Joseph Minde kuwa Askofu wa Moshi.
Alisema kwa kurudia rudia „tusaidieni (viongozi wa dini) kuwatengeneza watu wema wanaoheshimu utu wa watu na haki za watu“. Nimejiuliza hivi kweli hiyo ni siasa safi binadamu kumwona au kumuita mwenzake ni sawa na kirusi cha Corona?
Kumwona binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ni tusi kubwa kwa Mungu mwenyewe kwamba Yeye Mungu naye ni sawa na kirusi cha Corona, kinachopaswa kuondoka!! Halafu unamwomba huyo Mungu aondoe Corona?!
Hapo ndipo tumefika Watanzania kweli!? Hiyo ndiyo sura ya, siasa ni uadui“. Mtu mnayetofautiana mtazamo au itikadi ni adui, ila kesho akibadili mtazamo akafuata wako anabadilika na kuwa lulu nzuri, rafiki, na binadamu kama wewe.
Jamani! Nawasihi Watanzania tujitahidi kupima maneno tunayozungumza hadharani kumhusu binadamu mwingine.
Mtakatifu Yakobo anasema „Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, anaweza kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu“ (Yak 3:2). Na tena, ulimi ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti“ (3:8).
Namshauri aliyesema Corona ni sawa na wapinzani katika nchi hii kama ni muungwana aombe radhi kwa kumdhalilisha Mungu aliyemuumba binadamu kwa sura na mfano wake (Mwa 1:26-27).
Kwa namna hiyo ataepusha mauti kwa heshima yake mwenyewe na na kwa siasa za kistaarabu.
Source: FB page yake
My take:
1. CCM kutokanusha kauli hii ni sawa na kubariki, ndio tuseme ni msimamo wa chama.
2. Tahadhari wasimtingishe tena askofu na zile saga za uraia na passport
Wewe! Hakuna utani wa aina hiyo. Ikumbukwe tu huko nyuma walisha sema wazi kwamba hawawezi kufanya kazi na wadudu. Sasa wamekuja kututhibitishia kwamba hawatanii katika kauli zao, kwa kutuambia kwamba wadudu wenyewe ni corona. Aisee!Corona = Chadema?
Itakuwa alikuwa anatania..hapa hakuna utani kwenye siasa?
UsimuhukumuNaongea Leo hii tarehe 20 mwezi March mwaka 2020, Kwa kauli hii ya dhihaka na kejeli aliyoitoa Polepole, kipindi ambacho virusi vya Corona vitafutika kwenye Ardhi hii ndicho kipindi Polepole atafutika pamoja navyo.
MWENYEZI MUNGU HADHIHAKIWI
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo nayo ni dini na dunia inawahitaji kukemea mambo Kama hayo.Ivi hawa viongozi wa dini wamekosa kazi ya kufanya mbona dunia bado inawaitaji wahubiri dini zao huku kungine ni kufanya kazi isiyo wahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe serious sana, kuna mwanachema mmoja humu alikuwa anaomba corona ije Tanzania..na bado alijetetea na lengo lake au mawazo yake ilikuwa CCM iathilike, kwa hiyo na huyu kuwafananisha CDM na corona hana tofauti na yule...au mm sijaelewa? Wote hawa wanafanya mzaha na Corona
Sorry! Maana ni hao hao kila leo tunawasikiaBagonza katoka wapi hapa mkuu...