Wanasiasa ni ndumila kuwili, kuna siku watawageuka,watawambia kwanini hawakufunga ibada za jumapili na Pasaka kama alichofanya huyu Baba Askofu.Huyo Askofu ndio amefanya tulilokuwa tunataka waumini. Viongozi wa dini hawakupaswa kukaa bila kujiongezea kwa kutegemea hisani ya wanasiasa wanaosaka huruma ya viongozi wa dini. Hongera baba askofu kwa kung'amua mtego wa wanasiasa wachovu.
Haya ni maamuzi ya Balaza la Maaskofu yametokewa juzi, na majimbo yote yametangaziwa na waumini wote nchini wanafahamu.Safi sana,huu ndio utumishi wa Mungu tunaouhitaji.
Better late than never.
Waumini katika maeneo mengine, mjiongeza,msisubiri taarifa kama hii kwani si kila kiongozi wa dini atafanya hivi katika maeneo yenu.
Viongozi wa madhehebu mbalimbali(RC,KKKT.n.k) wanaokutana kutoa matamko ya pamoja(waraka) kama ya kukemea maovu,kukemea wanasiasa,n.k,walipaswa kuwa wamekutana na kuja na tamko kama hili; hivyo, tunatumai tangazo hili litatumika kama mfano kwa viongozi wengine wa dini waliobaki.
Baba Askofu,katika hili,umevaa viatu vilivyowapwaya wengi wakiwemo viongozi wa dini na wasio viongozi wa dini.
Hongera sana Baba Askofu!
Utakuta ni mwanaume ila bia yake anayokunywa ni Redds !🤣🤣🤣🤣Mkuu achana naye. Ukiona majina kama BIA YETU, MAGONJWA MTAMBUKA, ujue hapo ni shida
Bia yetu inalewesha sana hii... nadhani kiwango cha Anticovid 19 (alcohol) kilichomo kimepitiliza mpaka.Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Target ni kuondoa msongamano wa watu,kwani amekwambia yeye anaikimbia Corona mpaka umshauri akaimishe ibada kwa Shemasi?Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu wa jimbo husika anayomamlaka kamili ndani ya jimbo lake tu.
Papa mwenyewe kajifichaAskofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani huyu Askofu siyo mchochezi kweli