Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
NEC imejaa washenzi na wahuni watupu itaweza kutenda haki ?NEC walitakiwa wawasaidie kujaza form wagombea na si kuwazuia kugombea. Mbona tukienda kupata huduma sehemu zinazotuhitaji kujaza form kama huelewi jambo kwenye form unarudi kwa wahusika kuwauliza namna sahihi ya kujaza form na unapewa maelekezo ili form yako ikamilike vizuri, Mfano umeacha tarehe, hujaandika labda mwaka wa kuzaliwa, hujaweka picha nk. Vyote utaambiwa kuvikamilisha ili swala lako likamilishwe. LAKINI NEC wamefanya kugombea kama mashindano ya kufanya mtihani kumbe ni swala la kikatiba na mtu hawezi kuenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza form labda asiwe na sifa ya kugombea.
Hata kama ni ngumu kuwagundua NEC kunyamazia hili ni kama inasapoti uhuni,ila NEC ina dawa rahisi ya kukomesha uhuni huu, dawa rahisi ni tume kuja na utaratibu wa wagombea kujaza fomu ndani ya ofis ya msimamiz hao wanunuzi tutakuwa tumewakomesha make chanzo cha yote hayo ni wanunuzi,nakusoma ila ngumu kuwagundua kaka...
Unakumbuka ya Mb Nassari.... Anaitwa afanye press conference kulalamika anajichelewesha kijanja ....
leo kijani....
NEC imejaa washenzi na wahuni watupu itaweza kutenda haki ?
Siyo wanunuzi ni walanguziHata kama ni ngumu kuwagundua NEC kunyamazia hili ni kama inasapoti uhuni,ila NEC ina dawa rahisi ya kukomesha uhuni huu, dawa rahisi ni tume kuja na utaratibu wa wagombea kujaza fomu ndani ya ofis ya msimamiz hao wanunuzi tutakuwa tumewakomesha make chanzo cha yote hayo ni wanunuzi,
Kwanini watu walazimike kudai haki wakati Tume inatakiwa ifanye kila linalowezekana kuhakikisha wanatenda haki ?Haki haiombwi haki inadàiwa...
Amen baba askofu
Wasimamizi wakiwabana wagombea wajaze fomu ndani ya ofisi kwa kuongozwa na msimamizi then fomu inabaki kwa msimamizi, halafu mgombea akishateuliwa na tume hata akijiondoa tume isifute jina lake, hakika walanguzi tutakuwa tumewakomeshaSiyo wanunuzi ni walanguzi
Ametimiza wajibu wake mbele za MUNGUNeno la baba Askofu ndio neno na maagizo ya Mungu...
Wasije sema baadae hawakuambiwa maana Wana macho hawaoni na wana masikio lkn hawaskii...
Acha ubinafsi. Hizo fomu ziliandikwa lugha ya ki-ccm? Mbona walioenguliwa wote ni wapinzani?Kwamba kamanda Askofu anataka kuwapangia NEC, kama mtu hana umakini kwenye kujaza tu fomu hawezi pia kuwa na umakini kwenye mambo muhimu mengine ya uongozi.
Mkuu huu ni uhuni tu. Wewe unaamini kwamba wagombea wa cccm wote hawakusahau au kukosea baadhi ya mambo? John mwenyewe alikosea akawekewa pingamizi lkn likafunikwa funikwa tu. Hawa ni wahuni kama wahuni wengine tu.NEC walitakiwa wawasaidie kujaza form wagombea na si kuwazuia kugombea. Mbona tukienda kupata huduma sehemu zinazotuhitaji kujaza form kama huelewi jambo kwenye form unarudi kwa wahusika kuwauliza namna sahihi ya kujaza form na unapewa maelekezo ili form yako ikamilike vizuri.
Mfano umeacha tarehe, hujaandika labda mwaka wa kuzaliwa, hujaweka picha nk. Vyote utaambiwa kuvikamilisha ili swala lako likamilishwe.
LAKINI NEC wamefanya kugombea kama mashindano ya kufanya mtihani kumbe ni swala la kikatiba na mtu hawezi kuenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza form labda asiwe na sifa ya kugombea.
Moto gani???Lisu alichokoza nyuki sasa anaona moto wake
Huko kuvunja taratibu kumeanza kipindi hiki cha magufuli tu???Kama wamevunja taratibu haki yao ni kuenguliwa
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwetu ninyi nyote mnaosoma uzi huu ama kijiswali hicho kidogo. Asalaam alaykm!
Nataka niulize kajiswali kadogo. Je, kazi za wasimamizi wa uchaguzi ni kuwaengua wagombea kwa mitego midogo midogo au kuwasaidia ili wapate sifa za kugombea?
Ni kwanini wasimamizi wa uchaguzi anapoona mgombea amekosea kujaza form au kuna kitu amekisahau asichukue nafasi yake kama kiongozi kumwelekeza ajaze vizuri? Anashindwa nini kumpigia simu kamaameondoka arudi ili aijaze vizuri?
Kwanini refa ndio anakua adui wa mchezaji badala ya kumwelekeza kufuata utaratibu?
Kwanini refa ndio anamtegeshea penati mchezaji?
Nia ni kuwaengua au kupata wagombea watakaoshindana ili mshindi apatikane kwa njia halali?
Ni sahihi kuwachagulia wananchi mgombea badala ya wao?
AMEJITAMBULISHA,, SIKILIZA TENAAnataka yeye kama nani?