Uchaguzi 2020 Askofu Niwemugizi ataka walioenguliwa wote warejeshwe kwenye kinyang’anyiro, Uchaguzi uwe wa Haki

Nimekusikiliza kwa umakini sana baba Askofu.

Moja ya neno kuu umesema" VIONGOZI WA SERIKALI WANASISITIZA AMANI NA WANAKWEPA NENO HAKI WAKATI MSINGI WA AMANI NI HAKI"
 
ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI

Mimi naamini kwamba amani msingi wake ni haki. Pale ambapo kuna haki, amani itatawala." Askofu Niwemugizi aiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutenda haki kwenye mchakato mzima wa kupata viongozi wa nchi oktoba 28,2020.

Wale wanaoenguliwa waenguliwe kwa misingi sahihi, sio kwa sababu za ovyoovyo. Lakini, kwa bahati mbaya picha tunayoiona upande fulani umeathirika sana na hii engua engua, wakati upande mwingine hamna.Hii inaweza kuleta doa katika mchakato mzima wa uchaguzi huu.

Upande flani unaonekana hakuna walioenguliwa, wameenguliwa wa upande mmoja. Tulitarajia mchakato uonekane ni wa haki kabisa tangu wakati wa watu kutafuta kuteuliwa, ionekane kweli watu wameteuliwa kwa haki, na wale wanaoengeuliwa waenguliwe kwa misingi inayokubalika

Ni vizuri wadau wote wahusika wa mchakato wa uchaguzi, kila mmoja afanye wajibu wake, sasa ni bahati mbaya kidogo kwamba tunaongea wakati matayarisho ya awali ya uchaguzi yamekamilika.

Hawa MASHETANI wa CCM wamepigwa laana ya upofu, hawawezi kuona wala kusikia athari zilizoko mbeleni huko kutokana na upuuzi huu wanaoufanya sasa.
Hakuna mwenye hatimiliki ya nchi hii, MUDA UTAAMUA.
 
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwetu ninyi nyote mnaosoma uzi huu ama kijiswali hicho kidogo. Asalaam alaykm!

Nataka niulize kajiswali kadogo. Je, kazi za wasimamizi wa uchaguzi ni kuwaengua wagombea kwa mitego midogo midogo au kuwasaidia ili wapate sifa za kugombea?

Ni kwanini wasimamizi wa uchaguzi anapoona mgombea amekosea kujaza form au kuna kitu amekisahau asichukue nafasi yake kama kiongozi kumwelekeza ajaze vizuri? Anashindwa nini kumpigia simu kamaameondoka arudi ili aijaze vizuri?

Kwanini refa ndio anakua adui wa mchezaji badala ya kumwelekeza kufuata utaratibu?

Kwanini refa ndio anamtegeshea penati mchezaji?

Nia ni kuwaengua au kupata wagombea watakaoshindana ili mshindi apatikane kwa njia halali?

Ni sahihi kuwachagulia wananchi mgombea badala ya wao?
Mkuu, matatizo yote haya ni kwa vile hatuna KATIBA YA WANANCHI ambayo imepelekea Watawala kutumia MABAVU na kuweka TUME YAO YA UCHAGUZI YA MFUKONI.
Kwa upuuzi wa namna hii, ili kupata HAKI NA DEMOKRASIA ya kweli ni dhahili shahili damu lazima imwagike tu.
 
ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI

Mimi naamini kwamba amani msingi wake ni haki. Pale ambapo kuna haki, amani itatawala." Askofu Niwemugizi aiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutenda haki kwenye mchakato mzima wa kupata viongozi wa nchi oktoba 28,2020.

Wale wanaoenguliwa waenguliwe kwa misingi sahihi, sio kwa sababu za ovyoovyo. Lakini, kwa bahati mbaya picha tunayoiona upande fulani umeathirika sana na hii engua engua, wakati upande mwingine hamna.Hii inaweza kuleta doa katika mchakato mzima wa uchaguzi huu.

Upande flani unaonekana hakuna walioenguliwa, wameenguliwa wa upande mmoja. Tulitarajia mchakato uonekane ni wa haki kabisa tangu wakati wa watu kutafuta kuteuliwa, ionekane kweli watu wameteuliwa kwa haki, na wale wanaoengeuliwa waenguliwe kwa misingi inayokubalika

Ni vizuri wadau wote wahusika wa mchakato wa uchaguzi, kila mmoja afanye wajibu wake, sasa ni bahati mbaya kidogo kwamba tunaongea wakati matayarisho ya awali ya uchaguzi yamekamilika.

Kwani huyu ni askofu wa jimbo gani...inaelekea ni huko Ngara au Kigoma...maana mmhhh
 
Asante sana Baba Askofu. Wewe ni miongoni mwa watumishi wa Mungu kweli kweli. Unajitoa kwa ajili ya kondoo wako. Uliwalinda na kuwaombea wakati wa Corona na sasa unatuasa kuachana na mambo ya hovyo kwenye uchaguzi huu. Nimekuelewa msisitizo wako wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu (unaita Maendeleo yao na siyo maendeleo ya vitu vyao). Safi sana! Wanaonifanya nijivunie kuwa na viongozi wanaomwakilisha Mungu ni wewe, Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Dkt. Shoo. Mungu awabariki sana!
 
Kama wamevunja taratibu haki yao ni kuenguliwa
Tume haiwezi kushabikia kuengua wagombea badala ya kutengeneza mazingira ya wananchi kupata viongozi wao kupitia sanduku La kura.Hii tume tangu Uhuru imevunja rekodi kuharibu uchaguzi
 
NEC walitakiwa wawasaidie kujaza form wagombea na si kuwazuia kugombea. Mbona tukienda kupata huduma sehemu zinazotuhitaji kujaza form kama huelewi jambo kwenye form unarudi kwa wahusika kuwauliza namna sahihi ya kujaza form na unapewa maelekezo ili form yako ikamilike vizuri.

Mfano umeacha tarehe, hujaandika labda mwaka wa kuzaliwa, hujaweka picha nk. Vyote utaambiwa kuvikamilisha ili swala lako likamilishwe.

LAKINI NEC wamefanya kugombea kama mashindano ya kufanya mtihani kumbe ni swala la kikatiba na mtu hawezi kuenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza form labda asiwe na sifa ya kugombea.
Binafsi huwa sielewi kazi ya Tume ni nini? Je, ni kuweka mitego kwa wagombea? Tukienda Bank tunaelekezwa namna ya kujaza form, kama kuna viambatisho vinahitajika wanakwambia weka moja, mbili , tatu. Kama hujaweka sahihi mahali unaambiwa tia sahihi yako hapa. Sasa hili la kuviziana maana yake hii ni Tume au ni mtego? Ukisoma wajibu wa tume ni pamoja na kutoa elimu ya uraia na elimu ya uchaguzi. Hakuna jukumu la kuwatega wagombea. Hii kazi ya kuwatega wagombea wa upinzani tu imeandikwa wapi? Shule tunazosoma ni zile zile kwa wagombea wa CCM na wale wa upinzani, sasa inakuwaje hawa wa CCM ndio waonekane wao ndio wenye elimu nzuri na uelewa mzuri na akili kubwa kuliko wenzao?
 
ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI

Mimi naamini kwamba amani msingi wake ni haki. Pale ambapo kuna haki, amani itatawala." Askofu Niwemugizi aiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kutenda haki kwenye mchakato mzima wa kupata viongozi wa nchi oktoba 28,2020.

Wale wanaoenguliwa waenguliwe kwa misingi sahihi, sio kwa sababu za ovyoovyo. Lakini, kwa bahati mbaya picha tunayoiona upande fulani umeathirika sana na hii engua engua, wakati upande mwingine hamna.Hii inaweza kuleta doa katika mchakato mzima wa uchaguzi huu.

Upande flani unaonekana hakuna walioenguliwa, wameenguliwa wa upande mmoja. Tulitarajia mchakato uonekane ni wa haki kabisa tangu wakati wa watu kutafuta kuteuliwa, ionekane kweli watu wameteuliwa kwa haki, na wale wanaoengeuliwa waenguliwe kwa misingi inayokubalika

Ni vizuri wadau wote wahusika wa mchakato wa uchaguzi, kila mmoja afanye wajibu wake, sasa ni bahati mbaya kidogo kwamba tunaongea wakati matayarisho ya awali ya uchaguzi yamekamilika.

Huyo askofu amatumia akiri au ametumia kichwa tu kuongea. Amefanya tafiti au ni ushabiki wa chama.

Kama ametumia akiri angeuliza kwa nini hawa hawajaenguliwa kisha hawa kwa nini waengliwe?
Binadam tunasahau, juzi tu kwenye uchaguzi serikari za mitaa, polepole alisema kuwa,

Wagombea wa CCM wote hujaza form zao pamoja kwenye maeneo yao wakisimamiwa na mawakili wasomi ili kuondoa kukosea.
Ila kwa chaedema wanashindwa nini kuweka kila mkoa wakiri mmoja awasaidie wagombea kujaza form?

Viongozi wamebaki kupiga pesa na kibatara kwa kutengeneza makosa ili wale pesa za chama ila kwenye mambo ya msingi hawajari.
Sasa wagombea wanabaki kama watoto wa bata.

Jibu kwa niwemugizi ni kwamba CCM wanajaza form wakiwa na mwana sheria.

Nakumbuka kwenye eneo langu ninapoishi waliitwa wagombea wote wakaenda kujaza form kwa pamoja.
 
Binafsi huwa sielewi kazi ya Tume ni nini? Je, ni kuweka mitego kwa wagombea? Tukienda Bank tunaelekezwa namna ya kujaza form, kama kuna viambatisho vinahitajika wanakwambia weka moja, mbili , tatu. Kama hujaweka sahihi mahali unaambiwa tia sahihi yako hapa. Sasa hili la kuviziana maana yake hii ni Tume au ni mtego? Ukisoma wajibu wa tume ni pamoja na kutoa elimu ya uraia na elimu ya uchaguzi. Hakuna jukumu la kuwatega wagombea. Hii kazi ya kuwatega wagombea wa upinzani tu imeandikwa wapi? Shule tunazosoma ni zile zile kwa wagombea wa CCM na wale wa upinzani, sasa inakuwaje hawa wa CCM ndio waonekane wao ndio wenye elimu nzuri na uelewa mzuri na akili kubwa kuliko wenzao?
Asante mkuu, tume inashangilia kuengua wagombea badala ya kuweka mazingira ya wananchi kupata viongozi wa kupitia sanduku LA kura.Hii tume bure kabisa
 
Huyo askofu amatumia akiri au ametumia kichwa tu kuongea. Amefanya tafiti au ni ushabiki wa chama.

Kama ametumia akiri angeuliza kwa nini hawa hawajaenguliwa kisha hawa kwa nini waengliwe?
Binadam tunasahau, juzi tu kwenye uchaguzi serikari za mitaa, polepole alisema kuwa,

Wagombea wa CCM wote hujaza form zao pamoja kwenye maeneo yao wakisimamiwa na mawakili wasomi ili kuondoa kukosea.
Ila kwa chaedema wanashindwa nini kuweka kila mkoa wakiri mmoja awasaidie wagombea kujaza form?

Viongozi wamebaki kupiga pesa na kibatara kwa kutengeneza makosa ili wale pesa za chama ila kwenye mambo ya msingi hawajari.
Sasa wagombea wanabaki kama watoto wa bata.

Jibu kwa niwemugizi ni kwamba CCM wanajaza form wakiwa na mwana sheria.

Nakumbuka kwenye eneo langu ninapoishi waliitwa wagombea wote wakaenda kujaza form kwa pamoja.
Askofu ni mzalendo kwa taifa letu, sio wale viongozi wa dini wanaosubiri machafuko yatokee ndo waseme.Tume imewaangusha watanzania.MTU akikosea kujaza jina, ndo aenguliwe? Si anarekebisha tu maisha yaendelee.kwenye nchi ni wananchi
 
Asante mkuu, tume inashangilia kuengua wagombea badala ya kuweka mazingira ya wananchi kupata viongozi wa kupitia sanduku LA kura.Hii tume bure kabisa
Yaani haya ni maajabu ya dunia. Kwani kumwelekeza mgombea namna ya kujaza form tatizo ni nini? Uchaguzi ni kwenye sanduku la kura sasa hawa wanaochaguliwa na Tume kwa kuwatangaza eti wamepita bila kupingwa wamechaguliwa na nani? Basi tuwapigie kura ya ndiyo au hapana ili waonekane wamechaguliwa na sisi na siyo TUME
 
Askofu ni mzalendo kwa taifa letu, sio wale viongozi wa dini wanaosubiri machafuko yatokee ndo waseme.Tume imewaangusha watanzania.MTU akikosea kujaza jina, ndo aenguliwe? Si anarekebisha tu maisha yaendelee.kwenye nchi ni wananchi
Siasa ni sawa na game la mpira ukishika ndani ya 18 hiyo ni penalty
 
Back
Top Bottom