NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Maaskofu wa Chadema wanatapatapa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hanaga desturi ya unafiki huwa ana msimamo siku zote rejea swala la katiba mpyaKama ni kweli nitarejesha imani kwa askofu huyu. Ampigie JPM amshauri hilo atoe maelekezo, kama yeye JPM karidhia wengine kina nani?
Acha uduanzi,yaani askofu anakuteteeni bado mnashupaza shingo na kuropoka utopolo.
Kule south Africa haohao mnaowaita magaltia wanawapigania adhana yenu iendelee kulizwa baada ya mamlaka kunipiga 'bani'
Muwe waungwana,Askofu anapigania maslahi ya wote acha uzwazwa!
Siwezi kutafakari hoja nyepesi kiasi hicho.Sawa pamoja na matusi yote hayo, ponda alizungumza nini akasweka ndan na huyu anazungumza nini? Uislam haitaj mgalatia autete unaenda kama Allah alivyoukadiria. Lakini kwanini wengine wanyimwe sauti na wengine washupaze shingo katika ajenga moja? Unaweza usione hoja yangu lakin tafakari kwanza.
Siwezi kutafakari hoja nyepesi kiasi hicho.
Askofu anachokipigania ni the same anachokipigania Sheikh Issa Ponda, Sasa hapo unadhani ni yupi wa kumkabili na kumnyoshea kidole Kati ya Askofu 'mgalatia' , Sheikh Issa Ponda au Mtawala ambaye ni Magufuli na vyombo vyake vya dola?
Sifa za kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika . Hatutafuti mafundi wa kujaza fomu .Kwamba kamanda Askofu anataka kuwapangia NEC, kama mtu hana umakini kwenye kujaza tu fomu hawezi pia kuwa na umakini kwenye mambo muhimu mengine ya uongozi.
Haijalishi hoja imeelekezwa kwangu au kwa mwingine...itajibiwa kihoja tu.Sasa wewe umedandia hoja ujue hoja haijaelekezwa kwako, sasa sijui unataka nini kimsingi ni kwamba angekuwa Issa Ponda ndio anaandika haya sa hzi ameshazibwa mdomo
Amen baba askofuASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI
Hao watu hawakukosea kujaza fomu. Kinachosumbua , ni Ile kauli "NIKUPE NYUMBA, GARI, MSHAHARA, ULINZI NK. HALAFU UMTANGAZE MPINZANI".NEC walitakiwa wawasaidie kujaza form wagombea na si kuwazuia kugombea. Mbona tukienda kupata huduma sehemu zinazotuhitaji kujaza form kama huelewi jambo kwenye form unarudi kwa wahusika kuwauliza namna sahihi ya kujaza form na unapewa maelekezo ili form yako ikamilike vizuri, Mfano umeacha tarehe, hujaandika labda mwaka wa kuzaliwa, hujaweka picha nk. Vyote utaambiwa kuvikamilisha ili swala lako likamilishwe. LAKINI NEC wamefanya kugombea kama mashindano ya kufanya mtihani kumbe ni swala la kikatiba na mtu hawezi kuenguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza form labda asiwe na sifa ya kugombea.
Mkuu haya ndy maswali mhimu sana..kwani jukum la tume ni kupokea form tu si ni pamoja na kutoa elimu?hapa tume kwanini imeshndwa kutumikia mshahara wake kwa mjibu wa utaratibu?Kuna Nia ovu hapa!!Natanguliza shukrani zangu za dhati kwetu ninyi nyote mnaosoma uzi huu ama kijiswali hicho kidogo. Asalaam alaykm!
Nataka niulize kajiswali kadogo.....Je, kazi za wasimamizi wa uchaguzi ni kuwaengua wagombea kwa mitego midogo midogo au kuwasaidia ili wapate sifa za kugombea?
Ni kwanini wasimamizi wa uchaguzi anapoona mgombea amekosea kujaza form au kuna kitu amekisahau asichukue nafasi yake kama kiongozi kumwelekeza ajaze vizuri? Anashindwa nini kumpigia simu kamaameondoka arudi ili aijaze vizuri?
Kwanini refa ndio anakua adui wa mchezaji badala ya kumwelekeza kufuata utaratibu?
Kwanini refa ndio anamtegeshea penati mchezaji?
Nia ni kuwaengua au kupata wagombea watakaoshindana ili mshindi apatikane kwa njia halali?
Ni sahihi kuwachagulia wananchi mgombea badala ya wao?
Na aliyepita bila kupingwa ndo mnunuzi so ni wajibu wa NEC na Takukuru kushirikiana ili kumwajibisha mnunuzi na mnunuliwa wote wamevunja sheria za uchaguzi!Baadhi yao wamekuwa purchased mkuu...
Hata wakirudishwa watakataa[emoji3][emoji3]
Na aliyepita bila kupingwa ndo mnunuzi so ni wajibu wa NEC na Takukuru kushirikiana ili kumwajibisha mnunuzi na mnunuliwa wote wamevunja sheria za uchaguzi!
Nashangaa ufisadi ulifanywa nawaliojaza form vibaya? Niswali tuKwamba kamanda Askofu anataka kuwapangia NEC, kama mtu hana umakini kwenye kujaza tu fomu hawezi pia kuwa na umakini kwenye mambo muhimu mengine ya uongozi.
ASKOFU NIWEMUGIZI ATAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE WOTE, UCHAGUZI UWE WA HAKI