Pre GE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

Pre GE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala.


View attachment 2876154

Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya Tanzania na Watanzania ndiyo unampa jeuri anayewaza hivyo kutamka hadharani.

Tazama video uelimike zaidi
Kwani huyo mama Hadi akawa mwenyekiti was bungee la Katiba wananchi walikua hawaelewi katiba ni nini!!?
 
Back
Top Bottom