Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio hali ya kusemwa na Askofu mmoja au wawili. Ni kutoa waraka comprehensive kwa serikaliMaaskofu wetu ujinga kama huu mlipaswa kuukemea! Hili si tukio la kawaida, kesho mtakuja kukamatwa nyie madhabahuni! Waamini wanaona na sio wajinga.
Ni aibu na fedheha.Hata ukiwa mjinga wa darasani haimaanishi unakosa ama kupungukiwa na busara.
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa. UFA mmoja ambao Mwalimu alionya mwaka 1995 ni UDINI. Tusilete mchezo na Bomu la udini. Polisi wako SAHIHI.Ni aibu na fedheha.Hata ukiwa mjinga wa darasani haimaanishi unakosa ama kupungukiwa na busara.h
Ndio maana hata box la kura tunashindwa kulitumia ipasavyo, na tumeikituamulia wakutuongoza tunakaa kimya tuu kazi yetu kubwa nikushangila vya nnje ya nchi.Taifa liko salama mkuu,achana na maneno ya makamamanda wa mitandaoni
Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Unatoka Nje 🤣😂😃Unapigwa mwingi, hadi nje ya uwanja. Waamuzi wa huu mchezo nao ni wachezaji,wapo mchezoni; nafikiri ni sheria ya mchezo.
CCM kwa makusudi kabisa wanataka kuanzisha vita nchi hii. Sijui wanadhani wao ndiyo watasalimika vita hii ikianza!Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo, alitueleza wanatuhumiwa kwa kufanya vurugu kanisani na kwamba alipigiwa simu na viongozi wa kanisa. Ilibidi tukauone uongozi wa kanisa Katoliki jimbo la Mwanza, tumeonana na msaidizi wa baba Askofu na akatuwezesha kuongea na askofu Mkuu Renatus Nkwande.
Askofu mkuu jimbo katoliki Mwanza, Renatus Nkwande amesikitishwa sana na uongo wa jeshi la polisi na kuthibitisha kwamba hakukuwa na vurugu yoyote kwenye misa hiyo. Na alipokea matoleo ya wanachama hao wa Chadema na kusali pamoja nao. Akawakaribisha wale chakula pamoja nae.
Wakati wanakwenda kunawa polisi wakavamia eneo hilo na kuanza kukamata kila aliyekuwa na sare za Chadema. Awali asubuhi, walikwishakamata wanachama watano akiwemo mama yake mzazi na John Pambalu ambaye naye alikuwa anaigia kanisani hapo kwa ajili ya ibada hiyo.
Baba askofu Renatus Nkwande kamuelekeza msaidizi wake tukaenda naye hadi Kirumba na ameongea na OCD, sasa OCD akageuza kwa si kanisa lilimpigia simu bali ni waumini wawili mmojawapo anaitwa Gerald Joseph na kusema kanisani kuna wana CHADEMA wanaleta vurugu, hivyo wanataka msaada.
Msaidizi wa Askofu Renatus Nkwande, kawasiliana na (OCD) sasa Askofu mkuu jimbo katoliki Mwanza, Nkwande amemtuma katibu wake, Padre Nyanda na tunaendelea kumsubiri hapa Kirumba.
Tumemueleza Baba Askofu masuala kadhaa, lakini pia jinsi ambavyo tunaona inapendeza watu kutendewa
1. Jeshi la polisi liwaachie wote bila masharti yoyote (kwa kuwa hakuna kosa kisheria ambalo wamevunja)
2. Au ikiwezekana, baba Askofu, jimbo katoliki Mwanza, Renatus Nkwande, akawadhamini waumini wake.
Tutaendelea kuwajulisha kila hatua. Ahsante.
Kuna udini gani hapo umechanganywa na siasa.au mtu akishakua mwanasiasa haruhusiwi kuingia nyumba ya ibada.au mtu akivaa nguo tu basi ndo kuchanganya kwenyewe.tusifikie wakati wakujitoa ufahamu kiasi hicho.kuna awamu imepita rais alikua anaenda hadi kanisani na wafuasi wake na vyombo vya habari na anapata hadi wasaa anaongea mimbarani mambo yakisiasa lakini hakuna aliyeongea na lilipita.kinachofanyika sasa hivi ni watu kutaka kutumia vyeo vyao kuharibu huu utulivu tulionao Na huku nikufilisika kifikra.Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa. UFA mmoja ambao Mwalimu alionya mwaka 1995 ni UDINI. Tusilete mchezo na Bomu la udini. Polisi wako SAHIHI.
ujinga wa chadema ni kuwa wanataka kuleta siasa kila mahali sasa wewe unaendaje na sare za chadema kanisani? unamaanaisha nini? kaa ukijuwa kuwa kwa mfano kuna jezi za simba na yanga hayo mavazi yanatakiwa kuvaliwa maeneo husika uyaingiza sehemu isiyo husika unaleta mtafaruku kwa mpenzi ambaye hapendi timu unayoipenda wewe ndiyo maana kanisani hakuna uniform unaingia na nguo za nyumbani ukiona wamevaa uniform wanakwaya hao sasa wewe unaingia na sare ya chama unawauzi ambaoo siyo wanachama wa chadema na huo siy mkutano wa siasa ni kanisani POLISI PIGA SANA HAO HUKO KITUONI ILI WAIJE WAKARUDIA TENA NA IWE FUNZO KWA WENGINEMpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo, alitueleza wanatuhumiwa kwa kufanya vurugu kanisani na kwamba alipigiwa simu na viongozi wa kanisa. Ilibidi tukauone uongozi wa kanisa Katoliki jimbo la Mwanza, tumeonana na msaidizi wa baba Askofu na akatuwezesha kuongea na askofu Mkuu Renatus Nkwande.
Askofu mkuu jimbo katoliki Mwanza, Renatus Nkwande amesikitishwa sana na uongo wa jeshi la polisi na kuthibitisha kwamba hakukuwa na vurugu yoyote kwenye misa hiyo. Na alipokea matoleo ya wanachama hao wa Chadema na kusali pamoja nao. Akawakaribisha wale chakula pamoja nae.
Wakati wanakwenda kunawa polisi wakavamia eneo hilo na kuanza kukamata kila aliyekuwa na sare za Chadema. Awali asubuhi, walikwishakamata wanachama watano akiwemo mama yake mzazi na John Pambalu ambaye naye alikuwa anaigia kanisani hapo kwa ajili ya ibada hiyo.
Baba askofu Renatus Nkwande kamuelekeza msaidizi wake tukaenda naye hadi Kirumba na ameongea na OCD, sasa OCD akageuza kwa si kanisa lilimpigia simu bali ni waumini wawili mmojawapo anaitwa Gerald Joseph na kusema kanisani kuna wana CHADEMA wanaleta vurugu, hivyo wanataka msaada.
Msaidizi wa Askofu Renatus Nkwande, kawasiliana na (OCD) sasa Askofu mkuu jimbo katoliki Mwanza, Nkwande amemtuma katibu wake, Padre Nyanda na tunaendelea kumsubiri hapa Kirumba.
Tumemueleza Baba Askofu masuala kadhaa, lakini pia jinsi ambavyo tunaona inapendeza watu kutendewa
1. Jeshi la polisi liwaachie wote bila masharti yoyote (kwa kuwa hakuna kosa kisheria ambalo wamevunja)
2. Au ikiwezekana, baba Askofu, jimbo katoliki Mwanza, Renatus Nkwande, akawadhamini waumini wake.
Tutaendelea kuwajulisha kila hatua. Ahsante.
HAKUNA AIBU yoyote wana chadema waache ujinga hapo siyo mkutanoni kwa chadema ni kanisaniPolice wa Tanzania pimeni mnayoagizwa kuyafanya na CCM kabla ya kuyatekeleza..simameni kwenye msingi wenu. Dunia inawashangaa kwa aibu hii.
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.