Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

Awamu hii itatuharibia nchi kama haya ndio maagizo yake kwa vyombo vinavyoitikia ndio kwenye kila kitu kinachoitwa amri halali.
 
Hii inalazimisha sana Mungu aitandike laana
 
Mimi ni Mkatoliki ila nawaomba sana Kanisa Katoliki nchini Tanzania wasiingizwe katika Mtego huu wa Mzozo wa Kisiasa baina ya CHADEMA na Mamlaka zote zilizo chini ya Serikali ya Chama Tawala cha CCM. Kuna Hatari naanza Kuiona.
Kwanini?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Police watalifungulia mashtaka Kanisa Katoriki kama litaendelea kuruhusu wana CDM kuingia makanisani kwao na kuwafanyua vurugu waumini wengine.
 
Naona Sirro anamdip mjeswit. Hapo taarifa zitakuwa mbali sana aisee wanamwangalia tu. Kawapiga watanzania kimya Sasa kaimgia duniani. Yetu macho.
kudip ndio kufanyaje??
 
Kanisa haliwezi kujitenga na kutetea haki. Ukiona kanisa limejitenga na kutetea haki, jua siyo kanisa la Kristo hilo. Ni wachumia tumbo tu.
 
Polisi Wa Tanzania wamezoea sana kusema uongo
 
Hao wanatafuta ugomvi na kutaka kulifitinisha kanisa na serikali, na wala hawasali kutoka rohoni na ni njia tuu mojawapo ya maandamano Kwa mgongo wa kanisa
IVI MAOMBI YAO KWANI HAYAWEZI KUPOKELEWA BILA SARE ZA CHAMA?
 
Hivi wangekuwa masjid wanamuombea Dua SSH wangekamatwa?????
 
Kwa sasa wenye haki ya kwenda kanisani ni waumini wa chuma chakavu....
 
Mama mwislamu ameanza vita dhidi ya ukristo, je ataweza, atashinda?
 
Aisee.
Katiba inasema Serekali haina Dini, cha ajabu inakataza Dini.

Siku za nyuma iliwahi pia kukataza Lisu asiombewe.
 
Kanisa la kawekamo ni jirani kabisa na nyumbani kwa RPC wa Mwanza.
 
Maaskofu wetu ujinga kama huu mlipaswa kuukemea! Hili si tukio la kawaida, kesho mtakuja kukamatwa nyie madhabahuni! Waamini wanaona na sio wajinga.
Sasa wafanye Nini??, Hawana dola wafanyaje?,km ni kuongea ndio huko wanaongea lkn wenye nchi wameweka pamba masikioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…