Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

huyo ndio Sirro bana untouchable and unadvisable, nilishasema mwaka huu hapindui hamkuelewa, mtu na chanjo kapiga lakini kapaukaaaa wale mamalishe wasio hata na ndala miguuni wana afadhali, nchi inaingia pabaya sana na wanaoiingiza ni hawa policiciem aka wachumia uteuzi, tuna shida sana kwenye jeshi hili chini ya siro
 
Ipo siku haya yote yatakuwa historia. Uonevu na mateso vyote vyitalipwa
 
Ni fikra zangu kuwa hapa Tanzania shetani ameingia kwenye utawala!!! Hapa siyo suala la akili, busara au hekima. Ni ushetani kuingilia mambo ya msikitini, kanisani au mahali po pote pa ibada!
 
Sasa mburula wewe na wapumbavu wenzako mnayo mandate ya kuregulate kanisa katoliki? Moto ukiwashwa hapa utaingia shimoni ujifukie mbwa wewe!. Askofu mkuu amesema hakuna vurugu na tena alikuwa anakula pamoja nao! Subiri kidogo! labda wapotezee!
 
Siku Askofu atakayoenda kuwadhamini ndio siku URAIA wake utaanza kudadavuliwa na wa Uhamiaji.
 
Mimi ni Mkatoliki ila nawaomba sana Kanisa Katoliki nchini Tanzania wasiingizwe katika Mtego huu wa Mzozo wa Kisiasa baina ya CHADEMA na Mamlaka zote zilizo chini ya Serikali ya Chama Tawala cha CCM. Kuna Hatari naanza Kuiona.
Ww ni mkatoliki mnafiki tu watu wakienda kanisani kumuomba Mungu ni kosa ama huo ukatoliki wako uko wapi unao penda watu kuonewa hata wanapo mkimbuka mwenyezi Mungu.
 
Haya yamesemwa na CHADEMA na siyo askofu mkuu wa MZ. CHADEMA siyo msemaji wa askofu mkuu wa MZ
 
Sifa kuu ya kuajiriwa kuwa polisi ni kuwa na mbio na urefu .halafu uwe ulipata O au kuiba vyeti vya shule
 
Rais SAMIA ni mtu safi aliyezungukwa na mashetani yaliyokuwa kwenye utawala wa Magufuli.
 
Sijapendezwa kukamatwa kwao, pia sijapendezwa na kitendo cha waumini kwenda kanisani wakiwa wamevalia sare za chama. Kanisa halipaswi kuruhusu hili kwa kuwa kila muumini akiamua kuvaa sare za chama chake kanisani sijui kama itapendeza.
 
Poleni lakini habari haijaandikwa vizuri, heading tu ndio angalau inaeleweka
 
Mimi ni Mkatoliki ila nawaomba sana Kanisa Katoliki nchini Tanzania wasiingizwe katika Mtego huu wa Mzozo wa Kisiasa baina ya CHADEMA na Mamlaka zote zilizo chini ya Serikali ya Chama Tawala cha CCM. Kuna Hatari naanza Kuiona.
Unakumbuka yaliyotokea kwenu Rwanda
 
Aisee Nchi ilipofika ni pabaya sana kwa kweli baadae wataanza kusema tuliombee Taifa wakati huu ukatili wao ndio wanautengeneza.
Iko pazuri sana sana kwani kuna mapito lazima kuyapatia ili kufukia mabadiliko ya kweli na baadhi ya mapito ndio haya. Wananchi wanatakiwa kupitia na kuona mengi magumu ktk nyanja zote, kisiasa, kiuchumi, kijamii. Hapo watamfahamu adui yao, watapatwa hasira kila uchao, watajenga ujasiri wa kukemea, kukataa uovu huo...... Historia ipo wazi kabisa haya ni mapito ya Lazima na ukiona hivi haswa ktk vi-nchi vyenye wajinga na wanafiki wengi ujue kumekaribia kukukucha.
 
HIi siyo nchi tena
 
Hivi kuwa CHADEMA ni uhaini?
 
Yaani kanisa linasema hakuna fujo muumini mmoja anasema kuna fujo? hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…