Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

No 3 ni Irrelevant, yaan hakuna kitu hapooo.
 
Watu wasiojulikana wangetusaidia sana hapa kwa mashoga.

Lkn viongozi wa dini wazazi na pengine mitaala yetu ikawa na mafunzo ya maadili sahihi.
 
if you cant fight join them, heri kuwa moto au baridi na si vugu vugu. Mama yetu huyu haeleweki hataki nini na anataka nini...mafumbo mengi hatari. Hata kukemea uizi serikalini hataki utamsikia kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mara oooh mtu anakula sana hadi anapitiliza, sasa wewe unakuwa rais wa nchi huna kauli za kukataza ..tutajua upo upande wa pili tu..maana hakuna jibu mbadala.
 
 
Yesu alitetea kahaba pia, maana yake aliunga mkono ukahaba? Understand the message.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Uzi mwingine wa mashoga. Na huu nao nautabiria makubwa. Ngoja nikae pembeni nishuhudie.
 
Ameamua aseme,ukiwa na Mungu wa kweli unajiamini,huogopi chochote! atamani na watumishi wa makanisa mengine na huduma nyingine wawe wanakemea hadharani kama huyu! Ila sidhani kama serikali itakuja kukemea hadharani!! I wish serikali nayo ije iseme,I just wish!!!
But “if wishes were horses,beggars would ride’🚶🏽‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…