Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Na yule Askofu aliyevunja ukimya juzi na kutangaza hadharan kuwa yeye ni shoga kule US vipi?
 
Na yule Askofu aliyevunja ukimya juzi na kutangaza hadharan kuwa yeye ni shoga kule US vipi?
Ushoga, dhambi, uhalifu hauna sura wala dini! Hapa tukemee ushoga! Tukitaka kuchunguzana hakuna jamii itayopona HAIPO! Tujikite kwenye tatizo na kulikemea badala ya kutafutana.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Vitendo vya ushoga vinanuka kwenye jamii na Kanisa ni sehemu yake. Kanisa litaonekana linanuka zaidi sababu ya nafasi yake kwenye jamii.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ni muda wa jamii nzima kuungana kwa pamoja, viongozi wa dini, asasi za kiraia, wadau wa serikali na mamlaka zote kupinga ushoga na usagaji ili kuokoa vizazi vyetu
 
Mbona Ruto na Museveni wamekaza.

Hata hao West bado pia ni wategemezi kwetu kwa malighafi ndio maana kila kukicha wanapishana tu na wachina kuikamata Africa kwahio hata sisi tunaweza kushikilia hapo,Jana Macron baada ya ziara yake DRC kupingwa kwa maandamano ametamka wazi kwamba Ufaransa haitajihusisha na mambo ya ndani ya nchi za Afrika,kwahio hawa wanatakiwa waone tunalikataa hili kwa dhati hawataweza.
 
Wasiwasi wangu ni huyu aliyepo juu ana ubavu wa kukataa kama Museven na Ruto? Bado tuna safari ndefu
 
Makanisa ya magharibi [ RC, Anglican, Lutheran and so on ]

Ni suala la muda tu, nyie waamini hamna nguvu ya maamuzi juu ya makanisa yao na taratibu zao especially Afrika.
Nani kakudanganya broo?? Waamini wanayo nguvu kubwa sana. Iko hivi: Ukiona kiongozi wa kanisa mahalia anazingua, Unachukua maamuzi chap na Unajiondokea mwenyewe na hatothubutu kukufuata.

Ikumbukwe kwamba sio lazima uwe muumini wa kanisa fulani ili uingie mbinguni au kuwa katika dhehebu sio sharti mojawapo la kuokoka. Anayebisha atujuze mistari au vifungu vya Biblia. Nimekaa pale nasubiria.
 
Bosi hanuniwi.

Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga.
Ruto atamke lakin asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.

Familia zimesahau majukumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziiiii khaaaah
 
Serikali ilishatoa msimamo wake kuhusu ushoga, shida wananchi hawataki kuamini na kuukubali.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi nchi maskini zimeshawekwa kitanzini, hakuna kitu wataweza kumpinga beberu........hasa hizi nchi za kiafrika zinazoendeshwa na viongozi mafisadi na wabinafsi na hivyo kushindwa kujenga uchumi unaojitegemea na himilivu, wanaishia kuwa ombaomba kwa mabeberu, na beberu anawakamatia hapohapo, usipokubali masharti unakufa njaa....​
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…