Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Mkuu, mbona unaongea kwa kificho kiasi hicho? Eti kuna nchi moja...si Bora ungeweka wazi e.g. kuna mji mmoja/baadhi ya miji hapa Tz....... kuliko kusema (kwa kuzunguka-zunguka) kuna nchi moja ............Unaogopa nini?
Hajiamini jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora iwe hivyo ila jamii ibakie na mtizamo hasi sio kuzoeshwa kuona kawaida kama sasa wanavyojiachia kila sehemu bila woga.

Kenya Rais Ruto amepinga na Raila kaunga mkono lakini mahakama imepitisha! Kwasababu ya kukosa sheria ya kukataa huu ujinga!

Ndio maana Museven baada ya kuona kinachotokea Kenya kasaini sheria chap maana Uganda ilikuwa inafuata na tayari wanaharakati walishaanza kupambania hizo haki

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hawa Viongozi wasifanye Ushoga kuwa ndio agenda yao kuu wakati Nchi zinatamatizo mengi ya kushughulikia .
 
Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.

Museven kasaini sheria chap kabla hawajamvuruga ila US tayari wamempa onyo afute haraka hiyo sheria kabla hatua kali hazijachukuliwa. Yeye kasema yupo tayari kwa hatua zozote [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hajiamini jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana. Huu ni mjadala wa wazi na sidhani kuna atakayemfuatilia kwa kauli yake hapa -alimradi asitukane au kuandika matusi. Zingatia Ushoga au Shoga sio tusi.
 
Tusidanganyane mkuu, pamoja na hayo matatizo mengine lakini hili la Ushoga ni tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sidhani kama ni big deal kuliko wizi unaoendelea katika Serekali za Kenya na Uganda ambao athari zake ni umasikini kwa raia na hatimae raia wanaamua kuuza makalio na kuwa mashoga rasmi.
 
Nani kakudanganya broo?? Waamini wanayo nguvu kubwa sana. Iko hivi: Ukiona kiongozi wa kanisa mahalia anazingua, Unachukua maamuzi chap na Unajiondokea mwenyewe na hatothubutu kukufuata. Ikumbukwe kwamba sio lazima uwe muumini wa kanisa fulani ili uingie mbinguni au kuwa katika dhehebu sio sharti mojawapo la kuokoka. Anayebisha atujuze mistari au vifungu vya Biblia. Nimekaa pale nasubiria.
Makanisa ya magharibi wenye mamlaka ni watu wa magharibi vivo hivyo kwa makanisa ya mashariki, Waafrika hatuna mamlaka wala nguvu yoyote ya kuzia chochote hivyo ndivyo ilivyo na daima itabaki hivyo sisi ni wapokeaji tu.
 
Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.

Museven kasaini sheria chap kabla hawajamvuruga ila US tayari wamempa onyo afute haraka hiyo sheria kabla hatua kali hazijachukuliwa. Yeye kasema yupo tayari kwa hatua zozote [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize Mugabee alibana wee hadi akafikia kum provoke Obama atamuoa yeye, lakini ilifika hatua yeye mwenyewee aliachiaaaaaa,

Unacheza na sponsors nini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusidanganyane mkuu, pamoja na hayo matatizo mengine lakini hili la Ushoga ni tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hivi mkuu; are u serious kweli kwamba Ushoga ni Tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu?? e.g. Wewe hapo kijijini kwenu; Maji, Shule(Elimu), Zahanati(Afya), Barabara/mawasiliano n.k. mmejitosheleza? Usalama (Amani) ukoje? Sisi huku hususan kipindi hiki cha kilimo kuna uvunjifu mkubwa wa Amani baina ya Wakulima na Wafugaji ukihusisha pia Mali asili(W/pori) na Misitu(maeneo tengefu).

Lakini pia nasikia huko maeneo /nyanja zingine kuna kitu kinaitwa Tozo, Panyarodi/Vibaka, Utapeli/wizi wa kimtandao, Utekaji esp.watoto wadogo, n.k. Vipi hayo na mengineyo huyaoni ila umeona Ushoga tuu tena ambapo wewe hauhusiki nao kabisa. Si Ukomae na hali yako uwaache hao Wafu wazike wafu wao?
 
Hivi mkuu; Eti ni kweli kwamba kanisa katoliki ndilo linaongoza kwa vitendo hivyo?? Hebu toa matokeo ya Utafiti (research)ulioufanya ww na kwa matokeo ya utafiti wako huo umejiridhisha pasi na shaka kwamba kanisa hilo ndilo linaloongoza. Failure to do so, ww utakuwa na chuki binafsi na nia yako ni kulichafua kanisa hilo na viongozi wake kwa ujumla.
 
Makanisa ya magharibi wenye mamlaka ni watu wa magharibi vivo hivyo kwa makanisa ya mashariki, Waafrika hatuna mamlaka wala nguvu yoyote ya kuzia chochote hivyo ndivyo ilivyo na daima itabaki hivyo sisi ni wapokeaji tu.
Je, Wakikuijia halafu ww Usiponyoosha mkono wako kupokea watakufanyaje?
U have ur own choice mr. Live it and love it. Usikubali kuburuzwa wakati uko kwako.
 
Hivi mkuu; Eti ni kweli kwamba kanisa katoliki ndilo linaongoza kwa vitendo hivyo?? Hebu toa matokeo ya Utafiti (research)ulioufanya ww na kwa matokeo ya utafiti wako huo umejiridhisha pasi na shaka kwamba kanisa hilo ndilo linaloongoza. Failure to do so, ww utakuwa na chuki binafsi na nia yako ni kulichafua kanisa hilo na viongozi wake kwa ujumla.
Nilichafue nipate faida gani sasa ?

Imani ina tabia ya kumfanya mtu kuwa kiziwi, bubu na kipofu kwa wakati mmoja kwa yale yasiyo pendeza nafsi yake.

: Akili/Rangi
 
Je, Wakikuijia halafu ww Usiponyoosha mkono wako kupokea watakufanyaje?
U have ur own choice mr. Live it and love it. Usikubali kuburuzwa wakati uko kwako.
Usipo kubali kuburuzwa anzisha dini yako, kama dini si yako utaburuzwa tu wenda unataka au hautaki.

: Akili/Rangi
 
Back
Top Bottom