Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Ongeza sauti wakusikie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chafya...[emoji1784]
JamiiForums212693510.jpg
 
Huwezi kuwa na uchumi tegemezi kisha uanze kupiga hesabu za kuyavimbia mataifa ya ulaya na marekani, hao viongozi wa serikali watakuwa wanasema tu chini chini, lakini hawawezi kuweka msimamo wa wazi utambulike mbele ya jumuia ya kimaifa, wanajua jeuri hiyo kama nchi hatuna.

Kila siku tunajinadi hatufungamani na upande wowote, naamini huu msimamo tunauendeleza hata kwenye masuala mengine kama hayo ya ushoga, hata kama ikiwa ni kimya kimya.
Sahih hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anajua kuwachota akili manyumbu wake.
Na ashawajulia manyumbu wake wanapenda MIHEMKO ya kupinga ushoga bila kutumia akili, basi na kenyewe kakapiga kambi humo humo.

Manyumbu yanapiga makofi huku yanaibiwa! Na mwakani anastaafu anamuachia mwanae kiti cha Urais.

Uganda the Dynasty!!! Kalaghabao!!
 
apo MSD wanapewa KY bure hela.wameshalipa mabeberu na serikali inajua kabisa na hawana cha kufanya cha muhimu kila mtu aipiganie familia yake na jamii yake inayomzunguka kuondokana na ili janga tukisema tuitegmee serikali tutashangaa mitaala ya kufundisha jinsi ya kufanya ushoga imeanzishwa mashuleni awa jamaa wananguvu na wanafuatilia kinoma nakumbuka kuna punga moja kule instagram nililitukana sana yeye pamoja NGO yao cha ajabu kuna nafasi zilitokea pale job za kwenda Luxembourg nilinyimwa VISA na wakanichana kabisa sababu ya kuninyima ..
Ndugu utapigania familia yako wakati walimu nao wamo? Watoto shule na mtaani wamo? Utapeleka watoto Kanisa nako wamo? Hiyo familia utaifungia ndani tu? Hakuna cha kupigania familia ni kupigania Taifa lisiingie huko, likiingia na kuwa huru utashtuka siku mwanao nae anajitangaza anakuletea na mchumba wa jinsia moja!

Hili ni swala la kitaifa na sio mzaha maana kasi yake ni kubwa na wakipata nguvu zaidi watadai uhuru, watakuwa na viti maalum bungeni, itakuwa worse worse worse!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Papa alikazia nchi ambazo ni uhalifu kugundulika ni shoga na wengine hunyongwa na kusema hii si sawa maana ushoga ni dhambi ila si jinai. Lakini mimi binafsi nampinga kwenye hilo maana madhara na matokeo ya ushoga ni makubwa kuliko hao wachache wanaofanyiwa ukatili au kunyongwa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Ushoga una madhara gani kwenye jamii,toa mfano wa madhara hayo.
 
Vyombo vya habari huko Ulaya hasa Ulaya Magharibi na Marekani ni mawakala wa shetani na hawalitaki Kanisa Katoliki kwa sababu lina misingi yake thabiti na misimamo isiyoyumbishwa ndiyo maana wanatumia muda mwingi kulichafua Kanisa.
Kuna report ya FBI imevuja ikichunguza Wakatoliki wanaotetea misingi ya asili ya Kanisa! FBI wanawaita "Extremists Catholics"

Kanisa likisimama kwenye misingi tutabadili ulimwengu otherwise kuyumba kwake matokeo ndio haya.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ushoga una madhara gani kwenye jamii,toa mfano wa madhara hayo.
Ushoga ni dhambi,ushoga ni uchafu,ushoga ni uhuni,kama ng'ombe,punda,kuku,hata bata hawafanyi ushoga kasoro tu nguruwe ambaye ni mnyama mchafu kuliko wote na mbuzi ambaye amepungukiwa akili pia ana mkia mfupi kuliko wanyama wote,hivyo mtu anayefagilia ushoga ni nguruwe na pia ni mbuzi na hata hao wanyama ni nafuu kwa sababu nyama yao inaliwa lakini shoga hana faida yoyote.
 
Hivi mkuu; are u serious kweli kwamba Ushoga ni Tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu?? e.g. Wewe hapo kijijini kwenu; Maji, Shule(Elimu), Zahanati(Afya), Barabara/mawasiliano n.k. mmejitosheleza? Usalama (Amani) ukoje? Sisi huku hususan kipindi hiki cha kilimo kuna uvunjifu mkubwa wa Amani baina ya Wakulima na Wafugaji ukihusisha pia Mali asili(W/pori) na Misitu(maeneo tengefu). Lakini pia nasikia huko maeneo /nyanja zingine kuna kitu kinaitwa Tozo, Panyarodi/Vibaka, Utapeli/wizi wa kimtandao, Utekaji esp.watoto wadogo, n.k. Vipi hayo na mengineyo huyaoni ila umeona Ushoga tuu tena ambapo wewe hauhusiki nao kabisa. Si Ukomae na hali yako uwaache hao Wafu wazike wafu wao?
Hivi tukisema nchi ina tatizo la umeme maana yake hakuna tatizo la maji, afya kupo sawa, ulinzi upo n.k?

Kwani Marekani waliopitisha sheria za kuruhusu ndoa za mashoga wana shida gani? Maadili ni sehemu jambo mtambuka na unapopambana na mambo mengine huwezi kuvua mambo ya maadili hadi umalize matatizo yako.

Hapa tunazungumzia ushoga, hayo mengine fungulia uzi wake tuje kujadili.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom