Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Usipo kubali kuburuzwa anzisha dini yako, kama dini si yako utaburuzwa tu wenda unataka au hautaki.

: Akili/Rangi
Mkuu; Kumbuka na nasema tena Kumbuka dini sio kitu cha lazima kwako ili uishi au nikwambie hivi: Religion is not Oxygen that you cannot live without.
Kwa mantiki hiyo ingia kwenye dini kwa hiari yako na ondoka kwenye dini kwa hiari yako.
 
Na huo ndio msimamo wa Kiume sasa,Wafute tu misaada ili tujue namna ya kujitegemea
Tell that to samia.

Mikopo ya dezo dezo lazima mkubali tu kutatuliwa marinda kudadadeki zenu.

Unafikiri yale magari ya kifahari yananunuliwa kwa kodi za nyanya! Thubutu!!

Pesaa tamuu!
 
Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu, hata huyu MUSEVEN mwaka 2013 alikuja na kasheria uchwara cha kuwaadhibu mashoga lakini alipigwa mkwara wa kufa mtu na mabeberu hadi akakimbilia bungeni akaenda kuifuta ile sheria haraka haraka.

Hapa anawazuga manyumbu tu ili aendelee kuonekana Rais bora atawale milele na milele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anajua kuwachota akili manyumbu wake.
 
Yaani serikali iwe inakagua mikundu ya watu?
Kwani watu wanapopinga jambo ni mopka walikague? Serikali inaweza kuwekeza kwenye maadili kwa jamii kuanzia watoto,vijana na wazazi, pia inaweza kuweka sheria kali kwa wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja, na kubwa zaidi serikali inaweza kuzuia contents zote ikiwemo miziki au aina ya mavazi yanayochochea mapenzi ya jinsia moja
 
Ni sisi huku chini (Grass root level) ndo tunawasukuma Viongozi waifanye hiyo kuwa agenda yao kuu.
Huku chini ushoga hautuathiri kama wizi wa Mali za umma na upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu hao viongozi.

Umasikini unazidi kuongezeka inafikia hatua vijana wanaamua kujiingiza kwenye uhalifu na wanaishia Magerezani huko ndio wanaenda kulawitiwa na kujifunza ushoga.
 
Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.

Museven kasaini sheria chap kabla hawajamvuruga ila US tayari wamempa onyo afute haraka hiyo sheria kabla hatua kali hazijachukuliwa. Yeye kasema yupo tayari kwa hatua zozote [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyu museven janja janja tu, maana mwaka 2013 alijifanya kutunga sheria kali dhidi ya mashoga lakini alipopigwa mkwara na mabeberu akakimbilia bungeni akaenda kuifuta haraka haraka.

Leo kaibuka tena ili kuendelea kuwahadaa waganda kwamba yeye ni Rais bora ati anapinga ushoga!!

Akishakosa mvuto wa kisiasa anakimbilia kuvamia mashoga ili ajitwalie ujiko! Kalaghabao.

Manyumbu yanazidi kulaghaiwa na hiki kibabu kidikteta uchwara.
 
Tupate msimamo wa Serikali kwanza kabla ya kupata msimo wa CCM.
Msimamo wa serikali mbna uko wazi, huu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-460527473.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize Mugabee alibana wee hadi akafikia kum provoke Obama atamuoa yeye, lakini ilifika hatua yeye mwenyewee aliachiaaaaaa,

Unacheza na sponsors nini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mugabe alinyooshwa na mabeberu hadi akafa na matege anatembea kama kakata senta bolti.
 
Kwani watu wanapopinga jambo ni mopka walikague? Serikali inaweza kuwekeza kwenye maadili kwa jamii kuanzia watoto,vijana na wazazi, pia inaweza kuweka sheria kali kwa wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja, na kubwa zaidi serikali inaweza kuzuia contents zote ikiwemo miziki au aina ya mavazi yanayochochea mapenzi ya jinsia moja
Serikali iko bize kuiba na kukwapua pesa zenu nyie, haina muda na makalio ya watu.

Utapoteza wakati.
 
apo MSD wanapewa KY bure hela.wameshalipa mabeberu na serikali inajua kabisa na hawana cha kufanya cha muhimu kila mtu aipiganie familia yake na jamii yake inayomzunguka kuondokana na ili janga tukisema tuitegmee serikali tutashangaa mitaala ya kufundisha jinsi ya kufanya ushoga imeanzishwa mashuleni awa jamaa wananguvu na wanafuatilia kinoma nakumbuka kuna punga moja kule instagram nililitukana sana yeye pamoja NGO yao cha ajabu kuna nafasi zilitokea pale job za kwenda Luxembourg nilinyimwa VISA na wakanichana kabisa sababu ya kuninyima ..
 
Huku chini ushoga hautuathiri kama wizi wa Mali za umma na upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu na hao viongozi.

Umasikini unazidi kuongezeka inafikia hatua vijana wanaamua kujiingiza kwenye uhalifu na wanaishia Magerezani huko ndio wanaenda kulawitiwa na kujifunza ushoga.
Kwa mantiki hiyo, mzizi mkuu (Tap root)unaotakiwa kung'olewa au kukatwa ni wizi wa mali za Umma na Upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu lakini pia ni pamoja na Kero zingine za Kijamii e.g.Maji, Elimu, Afya n.k. ambazo kwazo Umasikini unaendelea kuongezeka. Yan tusipambane na matokeo bali tujikite kwenye chanzo au kisababishi.
 
Back
Top Bottom