FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Yaani serikali iwe inakagua mikundu ya watu?Ni muda wa jamii nzima kuungana kwa pamoja, viongozi wa dini, asasi za kiraia, wadau wa serikali na mamlaka zote kupinga ushoga na usagaji ili kuokoa vizazi vyetu