Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Msimamo wangu mm huu sina shida na faraga za watu shida yangu IPO kuwalawiti watoto hyo Ni kero kubwa San kwangu ,tuelekeze nguvu kwa Hawa wanaolawiti watoto wakichukuliwa hatua stahiki haswa ushoga na wale wafiraji watapungua.

Hvyo Ni jukumu la serekali kjwalinda watoto na wee mzazi pia ulinde watoto wako kwa silaa zote mtu akimzogogeleaa mtoto wako malizana nae mazima ,elimination method Ni nzuri zaidi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuwa na uchumi tegemezi kisha uanze kupiga hesabu za kuyavimbia mataifa ya ulaya na marekani, hao viongozi wa serikali watakuwa wanasema tu chini chini, lakini hawawezi kuweka msimamo wa wazi utambulike mbele ya jumuia ya kimaifa, wanajua jeuri hiyo kama nchi hatuna.

Kila siku tunajinadi hatufungamani na upande wowote, naamini huu msimamo tunauendeleza hata kwenye masuala mengine kama hayo ya ushoga, hata kama ikiwa ni kimya kimya.
Wewe huelewi chanzo cha hiyo taarifa unajiropokea tu kama zuzu
Mahakama ya Kenya ilitoa ruling kuwa wapenzi wa jinsia moja wana hako ya kukusanyika na kuunda NGO zao

Malalamiko yakawa mengi ndio ikapelekea Ruto na wanasiasa wengine kupinga hiyo ruling

Sasa Tanzania ni lini mahakama ama serikali imeruhusu hayo mambo?
 
Huwa mnakuwa wepesi sana kushambulia bila tafakuri,wewe ktk maisha yako yote ulishawahi kuwaza kwamba kuna siku Tanzania itatokea ushoga kufanywa hadharani hadi na watu kama askari kuonekana wakifurahia uume za wanaume wenzao?

Hata hapo unapohisi hawapo hawa watu wapo tukatae wote bila kuangalia nani ni nani.
 
Mahakama ya Kenya ilitoa ruling kuwa wapenzi wa jinsia moja wana hako ya kukusanyika na kuunda NGO zao

Malalamiko yakawa mengi ndio ikapelekea Ruto na wanasiasa wengine kupinga hiyo ruling

Unapinga COURT RULING kwa matamko ya kisiasa au kwa kufuata PROCEDURE ZA KIMAHAKAMA!??

Hapa watu wanachezewa akili.

Kwanini huyo RUTO asikate rufaa au kuomba MAPITIO kama kweli ANACHUKIA Ushoga?
 
Last edited:
Tunaomba madhara katika jamii,achana na mifano ya kipuuzi wanayama wamehusikanika vipi,halafu nguruwe aliwakosea nini?
Madhara makubwa ni:-
1.kuwa na akili za kimbuzimbuzi
2.ongezeko la upungufu wa nguvu za kiume
3.kuwa na akili za mazezeta zezeta
4.kuvuruga maadili ya mwanadamu hasa kutukuza uumbaji wa mwenyezi Mungu.
5.Kuvunja amri ya Mwenyezi Mungu (Mwanzo1:26-29)
 
Unapinga COURT RULING kwa matamko ya kisiasa au kwa kufuata PROCEDURE ZA KIMAHAKAMA!??

Hapa watu wanachezewa akili.
Kimahakama mashoga wana haki sasa huko Kenya na hamna kitu atawafanya. Ndio maana Museven kawahi kusaini sheria ya kukataza kabla hayajafikia huko ikawa aibu! Sisi tuna kasheria ketu flani kamejificha mahali, imagine kuna watu wakiwemo baadhi ya wanasiasa wanataka hata hako kafutwe!

Kidogo kidogo zitatembea funds ushangae prominent persons wanajitangaza alafu zinaanza kampeni za kuhalalisha kisheria watetezi wao alafu hiyo ndio itakuwa trigger to the real tune.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Si umeona ,akili za kimbuzimbuzi hizi yaani Pemba,Tanga,Pwani,Dar es Salaam,Mombasa sehemu zilizotamalaki waislamu kwa wingi ndizo zinazoongoza kuwa na mashoga wengi ukiwemo na wewe.
Tuache kulizungumza hili kidini. Hili ni tatizo la kijamii na jamii ndio hutoa hao Mapadre, Mashehe, wachungaji n.k

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga.

Lakini pia Askofu Ruwaichi amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa kauli dhabiti juu ya maadili lakini kiongozi mwenzake wa serikali akasema hiyo si kauli ya serikali! Ameuliza hapo kauli ya serikali ni ipi?

My take; Kwa nguvu na kasi ya msukumo juu ya ushoga unaoendelea duniani bila sisi kuchora mstari wa wazi na jamii ya kimataifa kuelewa msimamo wetu huko mbele tutapata shida kubwa hizo haki zitapoanza kudaiwa na watu potential bila woga hapa kwetu.

Mama yetu Mh Rais Samia pia aligusia umuhimu wa kulinda maadili yetu na kwa msimamo wake na dini yake nafahamu hawezi kuyumba kwenye hili na mfano mzuri ni serikali kupiga marufuku vitabu vya shule vinavyochochea hayo.

Nchi za wenzetu haya mambo yalianza kama mchezo na pengine hakuna aliyeamini itafikia hatua ya kuhalalishwa kisheria na hata kufundishwa mashuleni! Sasa tusisubiri tufike huko maana kijamii tunaanza kuzoeshwa tuone kawaida! Tunaona watangazaji maarufu, mastaa na hata shughuli mbalimbali za burudani jamii ya mashoga wanajitokeza wazi bila woga.

Tusipoziba ufa tutajenga ukuta! Tuanze kuchukua hatua sasa, tusifanye mzaha na maadili ya msingi yanayolinda utu wetu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wapo viongozi wakubwa serikalini wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ushoga na usagaji. Mchawi hawezi kukemea uchawi na swala dini ni ghiriba tu
 
Wapo viongozi wakubwa serikalini wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ushoga na usagaji. Mchawi hawezi kukemea uchawi na swala dini ni ghiriba tu
Ni kweli, tutakuja kushtuka wana nguvu za ajabu hatuwezi tena kudhibiti wakiamua kuwa na sheria za kuwapa uhuru wa kufunga ndoa.

Huko kwa wenzetu ambako wamehalalisha kisheria na sasa viongozi wa dini wanaogopa kusema vibaya juu ya ushoga maana upo kihalali na unaweza kushtakiwa! Wanalalamikia mioyoni tu!

Imagine kuna Askofu msaidizi wa Kanisa Katoliki amepigwa risasi na kuuawa huko US sababu ya misimamo yake ya kupinga abortions na imehalalishwa kisheria. Alifikia hatua kwenda kwenye abortion clinics na kusali nje ya hizo clinics. Wadau wamepita nae, sasa vipi hizi organisations za mashoga zenye nguvu na ma funds? Ni hatari!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, tutakuja kushtuka wana nguvu za ajabu hatuwezi tena kudhibiti wakiamua kuwa na sheria za kuwapa uhuru wa kufunga ndoa.

Huko kwa wenzetu ambako wamehalalisha kisheria na sasa viongozi wa dini wanaogopa kusema vibaya juu ya ushoga maana upo kihalali na unaweza kushtakiwa! Wanalalamikia mioyoni tu!

Imagine kuna Askofu msaidizi wa Kanisa Katoliki amepigwa risasi na kuuawa huko US sababu ya misimamo la siku saba u kilainakyake ya kupinga abortions na imehalalishwa kisheria. Alifikia hatua kwenda kwenye abortion clinics na kusali nje ya hizo clinics. Wadau wamepita nae, sasa vipi hizi organisations za mashoga zenye nguvu na ma funds? Ni hatari!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Deni la taifa linakua kila siku sababu ya mikopo tunayopewa kiulaini siku za karibuni kutoka mataifa na taasisi za magharibi, hatujui ni masharti gani tunapewa
 
Papa mwenyewe boss wake Ruwaichi anasema ushoga is okay. Sasa huyo Ruwaichi anawezaje kumpinga Papa?
kiitaliano hamjui kazi yenu kubwa ni kutomuelewa Papa na kuruka mitandaoni kupotosha,rudi umsikilize tena weka ukilaza wako pembeni utafute translator angalau akusaidie hata upande wa kingereza maana lugha za watu zawapa tabu wapotoshaji nyie
 
Mili sijui Kiingereza kipi mkuu? Nimepiga «A» ya Kiingereza naongoza shule zote Dar kwenye mtihani wa Taifa enzi zangu O- level.
 
Mili sijui Kiingereza kipi mkuu? Nimepiga «A» ya Kiingereza naongoza shule zote Dar kwenye mtihani wa Taifa enzi zangu O- level.
huna lolote kingereza chako kimeishia ex rc

hivi kulikuwa na haja gani ya kuanza na utetezi huo,wanafiki bwana sio watu wazuri.....punguza unafiki kijana utakufa vibaya
 
huna lolote kingereza chako kimeishia ex rc

hivi kulikuwa na haja gani ya kuanza na utetezi huo,wanafiki bwana sio watu wazuri.....punguza unafiki kijana utakufa vibaya
Sawa mkuu. Ishu hapa ni huyo Ruwaichi asafishe nyumba yake kwanza kabla ya kunyooshea vidole wengine.
 
Back
Top Bottom