Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Mbona Ruto na Museveni wamekaza.

Hata hao West bado pia ni wategemezi kwetu kwa malighafi ndio maana kila kukicha wanapishana tu na wachina kuikamata Africa kwahio hata sisi tunaweza kushikilia hapo,Jana Macron baada ya ziara yake DRC kupingwa kwa maandamano ametamka wazi kwamba Ufaransa haitajihusisha na mambo ya ndani ya nchi za Afrika,kwahio hawa wanatakiwa waone tunalikataa hili kwa dhati hawataweza.
Huyo Ruto ni danganya toto tyuuh, hakuna maajabu atafanyaa.

Hata Museveni ana bipu tyuuh. Akipigiwa mbna atafurauishwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ruto yupi mnayemzungumzia?
Juzi jumamosi mahakama kuu ya Kenya iliyo jirani na ofisi ya Ruto iliruhusu vyama vya mashoga kuanzishwa Kenya Kama NGO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanachekesha humu ndani, Kenya ilisha saini muswada Mashoga kuwa huru na wanatambulikaa.

Nairobi na Mombasa wamejaaa teleee na wanao and kabisa.
Afu leo Ruto apinge, anawadanganyaa kichwa maji tyuuh. Huo uwezo hana.
 
Lazima tuanzishe juhudi za kuwaua Mashoga
Imeandikwa(Mungu alituwekea Amri ): .......(5)Usiue (6)Usizini (7).........(8)Usiseme uongo...n.k. Sioni busara au Hekima ya kuhalalisha kosa tena kosa la makusudi la Kuua Mtu kisa eti Amezini. Nani kakupa hayo mamlaka ya kutoa hukumu na kuitekeleza wewe mwenyewe?? Wewe nafsini mwako unajua kabisa kwamba unasema Uongo i.e. Hutaua na wala huna nia ya kumuua mtu(Shoga) kwani mbona mashoga wapo, unawajua lakini hadi leo hujaua wala kumjeruhi hata mmoja - ila unataka kuwachochea wenzio wafanye hivyo. Je, ndg. yangu hiyo ni sawa?
 
Hizi nchi maskini zimeshawekwa kitanzini, hakuna kitu wataweza kumpinga beberu........hasa hizi nchi za kiafrika zinazoendeshwa na viongozi mafisadi na wabinafsi na hivyo kushindwa kujenga uchumi unaojitegemea na himilivu, wanaishia kuwa ombaomba kwa mabeberu, na beberu anawakamatia hapohapo, usipokubali masharti unakufa njaa....​
Ndo wataamua sasa kufa njaa, au kuukubali ushoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kuwasilisha, msimamo wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu Ushoga ni huu hapa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums-460527473.jpg
 
Alisema ushoga ni dhambi ila sio jinai.
Papa alikazia nchi ambazo ni uhalifu kugundulika ni shoga na wengine hunyongwa na kusema hii si sawa maana ushoga ni dhambi ila si jinai. Lakini mimi binafsi nampinga kwenye hilo maana madhara na matokeo ya ushoga ni makubwa kuliko hao wachache wanaofanyiwa ukatili au kunyongwa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ushoga ulikuwepo tokea enzi na enzi hata Bonobo Chimps wanafanya ushoga ila ni vizuri ubaki behind closed doors vyumbani huko.
Bora iwe hivyo ila jamii ibakie na mtizamo hasi sio kuzoeshwa kuona kawaida kama sasa wanavyojiachia kila sehemu bila woga.

Kenya Rais Ruto amepinga na Raila kaunga mkono lakini mahakama imepitisha! Kwasababu ya kukosa sheria ya kukataa huu ujinga!

Ndio maana Museven baada ya kuona kinachotokea Kenya kasaini sheria chap maana Uganda ilikuwa inafuata na tayari wanaharakati walishaanza kupambania hizo haki

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kuna nchi moja mashoga wanajiachia tu hadharani kuanzia kwenye media
Mpaka kwenye mambo yao ya mzikimziki
Mitaani,sehemu za starehe ndiyo usiseme

Ova
Mkuu, mbona unaongea kwa kificho kiasi hicho? Eti kuna nchi moja...si Bora ungeweka wazi e.g. kuna mji mmoja/baadhi ya miji hapa Tz....... kuliko kusema (kwa kuzunguka-zunguka) kuna nchi moja ............Unaogopa nini?
 
Back
Top Bottom