cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapige tuone,wao wameshatamka hadharani Ushoga hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapige tuone,wao wameshatamka hadharani Ushoga hapana
Hajiamini jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, mbona unaongea kwa kificho kiasi hicho? Eti kuna nchi moja...si Bora ungeweka wazi e.g. kuna mji mmoja/baadhi ya miji hapa Tz....... kuliko kusema (kwa kuzunguka-zunguka) kuna nchi moja ............Unaogopa nini?
Hawa Viongozi wasifanye Ushoga kuwa ndio agenda yao kuu wakati Nchi zinatamatizo mengi ya kushughulikia .Bora iwe hivyo ila jamii ibakie na mtizamo hasi sio kuzoeshwa kuona kawaida kama sasa wanavyojiachia kila sehemu bila woga.
Kenya Rais Ruto amepinga na Raila kaunga mkono lakini mahakama imepitisha! Kwasababu ya kukosa sheria ya kukataa huu ujinga!
Ndio maana Museven baada ya kuona kinachotokea Kenya kasaini sheria chap maana Uganda ilikuwa inafuata na tayari wanaharakati walishaanza kupambania hizo haki
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusidanganyane mkuu, pamoja na hayo matatizo mengine lakini hili la Ushoga ni tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu.Hawa Viongozi wasifanye Ushoga kuwa ndio agenda yao kuu wakati Nchi zinatamatizo mengi ya kushughulikia .
Hapana. Huu ni mjadala wa wazi na sidhani kuna atakayemfuatilia kwa kauli yake hapa -alimradi asitukane au kuandika matusi. Zingatia Ushoga au Shoga sio tusi.Hajiamini jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama ni big deal kuliko wizi unaoendelea katika Serekali za Kenya na Uganda ambao athari zake ni umasikini kwa raia na hatimae raia wanaamua kuuza makalio na kuwa mashoga rasmi.Tusidanganyane mkuu, pamoja na hayo matatizo mengine lakini hili la Ushoga ni tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jambo ambalo halikupaswa kuwa.Vitendo vya ushoga vinanuka kwenye jamii na Kanisa ni sehemu yake. Kanisa litaonekana linanuka zaidi sababu ya nafasi yake kwenye jamii.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Waji rekebishe kwanza wao.Kwa hiyo...
Makanisa ya magharibi wenye mamlaka ni watu wa magharibi vivo hivyo kwa makanisa ya mashariki, Waafrika hatuna mamlaka wala nguvu yoyote ya kuzia chochote hivyo ndivyo ilivyo na daima itabaki hivyo sisi ni wapokeaji tu.Nani kakudanganya broo?? Waamini wanayo nguvu kubwa sana. Iko hivi: Ukiona kiongozi wa kanisa mahalia anazingua, Unachukua maamuzi chap na Unajiondokea mwenyewe na hatothubutu kukufuata. Ikumbukwe kwamba sio lazima uwe muumini wa kanisa fulani ili uingie mbinguni au kuwa katika dhehebu sio sharti mojawapo la kuokoka. Anayebisha atujuze mistari au vifungu vya Biblia. Nimekaa pale nasubiria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize Mugabee alibana wee hadi akafikia kum provoke Obama atamuoa yeye, lakini ilifika hatua yeye mwenyewee aliachiaaaaaa,Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.
Museven kasaini sheria chap kabla hawajamvuruga ila US tayari wamempa onyo afute haraka hiyo sheria kabla hatua kali hazijachukuliwa. Yeye kasema yupo tayari kwa hatua zozote [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
HaswaaaahHapana. Huu ni mjadala wa wazi na sidhani kuna atakayemfuatilia kwa kauli yake hapa -alimradi asitukane au kuandika matusi. Zingatia Ushoga au Shoga sio tusi.
Kanisa katoliki lina ongoza kwa vitendo vya kishoga na ulawiti.Jibu kama mtu mwenye akili.
Hivi mkuu; are u serious kweli kwamba Ushoga ni Tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu?? e.g. Wewe hapo kijijini kwenu; Maji, Shule(Elimu), Zahanati(Afya), Barabara/mawasiliano n.k. mmejitosheleza? Usalama (Amani) ukoje? Sisi huku hususan kipindi hiki cha kilimo kuna uvunjifu mkubwa wa Amani baina ya Wakulima na Wafugaji ukihusisha pia Mali asili(W/pori) na Misitu(maeneo tengefu).Tusidanganyane mkuu, pamoja na hayo matatizo mengine lakini hili la Ushoga ni tatizo la nyakati zetu linalohitaji majibu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Je, Wakikuijia halafu ww Usiponyoosha mkono wako kupokea watakufanyaje?Makanisa ya magharibi wenye mamlaka ni watu wa magharibi vivo hivyo kwa makanisa ya mashariki, Waafrika hatuna mamlaka wala nguvu yoyote ya kuzia chochote hivyo ndivyo ilivyo na daima itabaki hivyo sisi ni wapokeaji tu.
Nilichafue nipate faida gani sasa ?Hivi mkuu; Eti ni kweli kwamba kanisa katoliki ndilo linaongoza kwa vitendo hivyo?? Hebu toa matokeo ya Utafiti (research)ulioufanya ww na kwa matokeo ya utafiti wako huo umejiridhisha pasi na shaka kwamba kanisa hilo ndilo linaloongoza. Failure to do so, ww utakuwa na chuki binafsi na nia yako ni kulichafua kanisa hilo na viongozi wake kwa ujumla.
Usipo kubali kuburuzwa anzisha dini yako, kama dini si yako utaburuzwa tu wenda unataka au hautaki.Je, Wakikuijia halafu ww Usiponyoosha mkono wako kupokea watakufanyaje?
U have ur own choice mr. Live it and love it. Usikubali kuburuzwa wakati uko kwako.
Ni sisi huku chini (Grass root level) ndo tunawasukuma Viongozi waifanye hiyo kuwa agenda yao kuu.Hawa Viongozi wasifanye Ushoga kuwa ndio agenda yao kuu wakati Nchi zinatamatizo mengi ya kushughulikia .
Tupate msimamo wa Serikali kwanza kabla ya kupata msimo wa CCM.Askofu wa Anglikana hapa nchini amepinga Ushoga pia
Bado vyama vya siasa