Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

Wenye mgogoro wa afya, Covid ikiwatembelea ni changamoto sana... spana mkononi, hakuna kuhudhuria misiba wala nini, wao wataingalia tu hiyo misiba kwenye runinga na kujiuliza maswali kibao bila ya majibu...
 
Kwamba viongozi wa Serikali hawaoni hali halisi inavyokinzana na kauli zao? Kwamba wanajaribu kuiaminisha Dunia jua linachomoza Kusini na sio kule ambako hata mbayuwayu wanajua? Tuna majuha kweli nchi hii! Lowest IQ zinapatikana Tanzania I agree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…