Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

Nawasikitikia wazazi wako kwa hasara waliyopata. Kilangila.
Pole mkuu, haya masomo mengine ni magumu. Yahitaji mtu wa kiwango cha PhD kuweza kuelewa na hasa kuelewa mechanics ya ulimwengu wa Mola jinsi unavyojiendesha na kufanya kazi.
 
Pole mkuu, haya masomo mengine ni magumu yahitaji mtu wa kiwango cha PhD kuweza kuelewa na hasa kuelewa mechanics ya ulimwengu wa Mola jinsi unavyojiendesha na kufanya kazi.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Kama ni PhD hata jiwe anayo. Jikumbushe maneno yatokayo kwake, Kilangila.
 
Mbona kila SIKU watu wanakufa kabla ya Corona kuja?
maalim na kijazi SIKU zao zimefika.
Kila nafsi itaonja umauti.
Haijalishi marehemu kaondoka Kwa ugonjwa gani..hata mimi nikiondoka na Corona basi SIKU yangu imefika
Kwahiyo Mungu ameshindwa kuwakomboa akina kijazi? mkuu, Mungu hakuwapa akili kwa bahati mbaya, huko aliko atakuwa anawaangalia na kuwasikitikia msivyotumia akili alizowapatia mnabaki kumtumia lawama yeye.
 
Ahsante sana
 

Attachments

  • 545bc1e6-f51c-44e8-aeac-73cce900fe77-360x220.jpeg
    545bc1e6-f51c-44e8-aeac-73cce900fe77-360x220.jpeg
    9.8 KB · Views: 3
Ninakubaliana na maoni yako.

Ila huo mstari wa mwisho umeacha mtihani mgumu!

Lakini wengi tunaamini ni kutokana na ugonjwa unaowapata binaadam sote!

Hapana tusiweke 'conspirasy' kwa kila jambobaya linalotokea.
 
We mwenye imani mbona hauachi mlango wazi wezi wasiingie ndani, au why unameza dawa ukiumwa?
 
We mwenye imani mbona hauachi mlango wazi wezi wasiingie ndani, au why unameza dawa ukiumwa?
Mimi nafikiri sina imani kama hao wachunga kondoo wa bwanabwanatakiwa wamwamini huyo wanayemwakilisha kwenye madhabahu. Yaani imani isihamie kwenye barakoa, au nasema uongo.
 
Back
Top Bottom