Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mtu akisema ukweli mnasema ana chuki au hofu?Mkuu punguza chuki na HOFU
Waangalie nyuso zao,angalia na nyuso za wafiwa utaiona tofauti nyuso za wafiwa zina huzuni ila ni angavu ,hao jamaa hawana huzuni ila wana hofu utadhani wametekwa kwenye ndege,hawana uhakika na waendako kama watafika salama! mh masikini wapeni pole kwa niaba yangu.
Yuko wapi huyu ndugu majivuno na majeuri
Kuna watu hapa duniani hawana wa kuwaadhibu. Kinacho nigusa, hujiaminisha kuwa upande wa Mungu, ambao imani inakili siku ya mwisho kuna hukumu itawahusu. Mbona matendo yao hayaakisi imani waisemayo?
Hawa wavaa suti mbona kama wapumbavu fulani hivi
Temporary [emoji359] down
Kwa jina hilo, mawazo yako yanaakisi uhalisia wa ukomo wa kufikiri kwako. Mbona jana madudu alipo kuingia jichoni hukumsubiri Mungu?MUNGU ndo suluhisho la kila tatizo.
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao-Mithali 1:32Cha kushangaza 'wanaoishi kwa sadaka' ndio wanaoogopa kufa kuliko wanaoishi kwa jasho lao.. Inaonekana huko madhabahuni ni kunono ndio maana wengi wanaogopa kupaacha na kwenda 'kwa Baba' wakihisi kule juu hawatapata maslahi manono kuliko wanayoyapata hapa Duniani!
Hili neno na limsaidieMungu hawezi kumlinda mtu mpumbavu hata siku moja kaa ukijua hivyo wewe kilaza, bali humuacha aangamie.
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao-Mithali 1:32
Tumia kweli mkuu na siyo propaganda na utashi wako binafsi badala ya sayansi.
Kwa hiyo hata wasipotibu?Madaktari wanatibu lakini Mungu ndiye Mponyaji!