Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Pole mkuu, haya masomo mengine ni magumu. Yahitaji mtu wa kiwango cha PhD kuweza kuelewa na hasa kuelewa mechanics ya ulimwengu wa Mola jinsi unavyojiendesha na kufanya kazi.Nawasikitikia wazazi wako kwa hasara waliyopata. Kilangila.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Kama ni PhD hata jiwe anayo. Jikumbushe maneno yatokayo kwake, Kilangila.Pole mkuu, haya masomo mengine ni magumu yahitaji mtu wa kiwango cha PhD kuweza kuelewa na hasa kuelewa mechanics ya ulimwengu wa Mola jinsi unavyojiendesha na kufanya kazi.
Kwahiyo Mungu ameshindwa kuwakomboa akina kijazi? mkuu, Mungu hakuwapa akili kwa bahati mbaya, huko aliko atakuwa anawaangalia na kuwasikitikia msivyotumia akili alizowapatia mnabaki kumtumia lawama yeye.
Kweli kabisa, na hicho ndio kinachoonekana kwa sasa.Kuna mtu kaandika sehemu, Kanisa linafanya kazi ya serikali na serikali inafanya kazi ya kanisa.
HakikaMungu ni mkuu na mwenye mamlaka kwa kila kiumbe alichokiumba na kwenye biblia tumeambiwa tuseme ukweli na ukweli utakuweka huru
Kuna baadhi ya watu siku wakifa kwa wengine itakuwa sherehe sio masikitiko.
Kikwete aliona mbali sana aliposema "...za kuambiwa + na zako"
Mimi nafikiri sina imani kama hao wachunga kondoo wa bwanabwanatakiwa wamwamini huyo wanayemwakilisha kwenye madhabahu. Yaani imani isihamie kwenye barakoa, au nasema uongo.We mwenye imani mbona hauachi mlango wazi wezi wasiingie ndani, au why unameza dawa ukiumwa?
Ina purua si mchezoCorona purua wote hawa wajinga badala ya kushauri kulinda Watanzania wao wanageuka wapambe.