Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Hawa maaskofu, vijembe vya kila siku vinasaidia nini? Vinaresolve nini kwenye hali iliyopo sasa? Tumewachoka nao. Kwa nini hamtake actions ngumu pamoja na waumini wenu? Mkishasema hizi sentensi na mkaongeza neno haki, ndio nchi inakuwa imekombelewa? Kwendeni zenu huko na maneno yenu ya kanga kila siku. Nyie muongee tu halafu maamuzi magumu wafanye wengine?
 
Amen baba askofu
 
acha upuuzi kenge we, unatokwa povu jingi sana, we huoni uhuni unaofanywa na hao wahuni wenzako?
 
iVI UBALOZI WA VATIKANI UMEJIBUU?
 
Wangekaa kimya bila kuongelea wale jamaa ingekuwa poa zaidi. Kusema vile maana yake wanayo madukuduku moyoni.

Sijalizoea kanisa langu katoliki likiwa na hulka hizi za kujibizana kwenye masuala yenye sura za kisiasa.
 
Utaishia kulalama tu shehe ubwabwa...hasira nyingi lakini huna lolote la kufanya....
 
Katika maisha yangu yote nimekuwa naona maaskofu wanaoheshimika. Ila nimekuja kugundua kumbe hata maaskofu huwa wapo wa hovyo. Mtu mzima kuendeleza ligi ni ukubwa ujinga. Kuna ligi nyingine wakati mwingine ni vema ukaacha kwasababu hazikusaidii. Askofu mzima kujibizana na wavaa vijora Ni upumbavu wA hali ya juu. Huwa najiuliza hivi kama kichaa akachukua nguo ukiwa unaoga akawa anakimbia akaanza kumfukuza ukiwa uchi. Nani ataonekana kichaa. Askofu Ruwaich kaamua kuwa kichaa badala ya kuacha hao anao waita malofa, wavaa vijora kuwajibu. Kama ni malofa tu kwanini tukazane kuwajibu. Mnatuaibisha na ukatoliki wetu.
 
Katika maisha yangu yote nimekuwa naona maaskofu wanaoheshimika. Ila nimekuja kugundua kumbe hata maaskofu huwa wapo wa hovyo. Mtu mzima kuendeleza ligi ni ukubwa ujinga. Kuna ligi nyingine wakati mwingine ni vema ukaacha kwasababu hazikusaidii.
Hapa ni bampa tu bampa mpaka bungo litemwe.
Uuwe watu halafu ukaliwe kimya ? Huayuuu?
 
Wangekaa kimya bila kuongelea wale jamaa ingekuwa poa zaidi. Kusema vile maana yake wanayo madukuduku moyoni.

Sijalizoea kanisa langu katoliki likiwa na hulka hizi za kujibizana kwenye masuala yenye sura za kisiasa.
Juzi nilisema wanawekwa kwenye mtego.

Wakikaa kimya, wahuni wanashinda maana lengo lao Kanisa lisikemee maovu yanayoendelea.

Wakijibu ndiyo kama hivyo, watu kama nyie mnaona wanajishushia hadhi. Inabidi wawe makini sana wanachojibu na kwa njia yoyote inaonekana kama wanajibizana na watu wa hovyo maana wanaotakiwa kuwajibu wako kimya na badala yake wametuma vibaraka wahuni wahuni.

Mwisho wa siku, Kanisa lina wajibu wa kuendelea kukemea uongo, mauaji, uonevu na hata uvunjifu wa haki za raia. Liberation Theology ina zaidi ya miaka 60 sasa.
 
Waliotumwa wote ukiwaangalia hawana cha kupoteza, ni sawa na kichaa anayekuvua taulo lako hadharani halafu wewe unaamua kumkimbiza ukiwa uchi wa mnyama, watakucheka wewe bila hata ya kujiuliza aliyechukua taulo ni mzima au ndio mgonjwa mwenyewe.
 
Ila ukisikiliza kwa makini hapa hawajibiwi wale wavaa madera na vijora bali ni ujumbe kwa wale walio nyuma yao.

Mwisho wa siku, Kanisa lina wajibu wa kuendelea kukemea uongo, mauaji, uonevu na hata uvunjifu wa haki za raia. Liberation Theology ina zaidi ya miaka 60 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…