Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

Waliotumwa wote ukiwaangalia hawana cha kupoteza, ni sawa na kichaa anayekuvua taulo lako hadharani halafu wewe unaamua kumkimbiza ukiwa uchi wa mnyama, watakucheka wewe bila hata ya kujiuliza aliyechukua taulo ni mzima au ndio mgonjwa mwenyewe.
Lakini Mwigulu si kapata sms? Kwamba igizo lake limekaa kiiramba-iramba
 
Kumbuka hawajalazimishwq
 
Maaskofu wamekuwa na vijembe vya kwenye vijora kuliko giggy money. Kimsingi wanajitahidi kujitoa katika aibu ya kushindwa kwa Nia yao ovu ya kuiangusha serikali. Mungu wetu ni mwema, watashindwa tena na tena.......najua wapo kazini Bado.
 
Wakatoliki hatuna shida na mtu.
Ni watu wastarabu na wema pia, ukishindwa kuishi na mkatoliki jua itakuwia vigumu kuishi na imani nyingine mfano wasabato , walokole etc.
Tumechokozwa na utawala huu na kamwe hatutokaa kimya.
Kwa kiasi fulani kuna ukweli kwa unayosema. Nongwa haipimwi katika good terms, bali pale unapokosewa au kuchokozwa. Sentensi yako ya mwisho inathibitisha hicho kinachoitwa nongwa. Lakini ni kitu gani mlichochokozwa? Mbona hamuweki wazi ili sote tujue na tupime uzito wake. Binafsi siamini kama mlichochokozwa ni huo utekaji kama inavyodaiwa.
 
Kanisa limejishusha lenyewe kwa kuacha kufanya kazi yake na kukimbilia harakati za siasa na kuhamasisha vurugu nchini
Mnataka muwatendee watu unyama halafu kanisa likae kimya? Kanisa la kweli haliwezi kupanda gari yenu ya unyama na uharamu kamwe!

Mnataka kanisa liunge mkono uvunjwaji wa haki za kimsingi za watu? Ni nani amewaloga?
​
 
Kuteka, kuua, kufir*, kuiba na mambo kama hayo ni kulichokoza kanisa na kamwe kanisa halitiokaa kaa kimya
 
Hawa kina Ruwaich mbona wanakosa uvumilivu aisse mi najua sifa ya Viongozi wa dini ni staha na Uvumilivu kama wanataka siasa wavue magauni yao waje siasani sio kutaka kuleta machafuko Kwa sababu Wana influence na waumini wao

Hawa TEC naona wake tu kwenye Politics tupambane nao kwenye majukwaa mana wao wanarusha madogo wakijibiwe wanaanz Kujivika mwamvuli wa dini

Ovyo kabisa Hawa TEC Leo anaponda Vijora mbona wao wanavaa Magauni
 
Mnataka muwatendee watu unyama halafu kanisa likae kimya? Kanisa la kweli haliwezi kupanda gari yenu ya unyama na uharamu kamwe!

Mnataka kanisa liunge mkono uvunjwaji wa haki za kimsingi za watu? Ni nani amewaloga?
​
Nchi hii ni kubwa Kuliko hao TEC, so wafanye kazi zao za kidini hao kina ruwaicha na Kiti ma wasijione special sana au wakubwa sana Kuliko Taifa, Walikuwepo watu kabla yao kwenye izo nafasi wanataka kujiona special sana

Wavue magauni hayo waingie kwenye siasa tu mana tumewachoka pia
 
Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumzuia mtanzania au taasisi yeyote kutoa maoni yake juu ya nchi yake.

Halafu unaposema wasijione special, kwani hao TEC kuna sehemu kwenye matamko yao waliwahi kujiongelea wao au kuomba mambo yao ya kanisa?

Kama mna akili vizuri mtaelewa hiyo nchi mnayosema ni kubwa sio nchi bila wananchi na wananchi ndio wenye nchi na hao TEC ni miongoni mwa wananchi. Hii nchi sio mali ya watawala wachache.
​
 
Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??

HAMTAFAKARI??
Hivi majitu mashenzi mashenzi kama wewe kwa kilugha chenu huwa yanaitwaje
 
Usijisumbue, hao ni wapuuzi wachache wanaopanga kuchafua wenzao halafu wanataka wanyamaziwe ili ionekane wameshinda
 

Nyie mnao owa mbona mitaro hamuachi? Huyu aliambiwaga na mange anafukua mitaro, akamsomea "lubadiri" iliishia wapi?


View: https://youtu.be/gTASJPSG2Ns?si=V4hOMfUqyqI4D4sV
 
Mnataka muwatendee watu unyama halafu kanisa likae kimya? Kanisa la kweli haliwezi kupanda gari yenu ya unyama na uharamu kamwe!

Mnataka kanisa liunge mkono uvunjwaji wa haki za kimsingi za watu? Ni nani amewaloga?
​

Kanisa halina usafi wowote tambua

Kanisa liliuza wazee wetu kwenye utumwa utukufu huo wautoe wapi??

Na sasa hivi kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja...kanisa ni laana tuh
 

Hao kinachowasumbua ni nyege na maisha yao ya masterbation hawana lolote wavaa magauni
 

UNAONA SASA ULIVYO FALA??

KWELI MWANAUME RIJALI KABISA HAUPENDI RAHA YA MWANAMKE KWELI??

SASA RAHA YAKO WEWE MWANUME MWENZETU NI NINI HAPA DUNIANI??

KUBANDULIWA AU??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…