Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kwani wewe hutaki kutendewa haki mkuu ???Lenyewe limejifungia ndani linakula divai kazi upotoshaji tu, Stupid ruachi
Kwani wewe hutaki kutendewa haki mkuu ???Lenyewe limejifungia ndani linakula divai kazi upotoshaji tu, Stupid ruachi
Kwanini wewe hutaki kutendewa haki mkuuLaana unayo wewe
Watumishi wa Mungu matepeli mfano wa ruachi tunawapinga hadharani
Haki Gani ninayoikosaKwanini wewe hutaki kutendewa haki mkuu
Ufalme wa Mungu ni hakiHaki Gani ninayoikosa
Kanisani ni sehemu ya Toba na kuomba uzima wa milele mambo ya haki tayar yapo kwenye katiba ya nchi
Haki ya Kuvuruga Amani ya Nchi huku ukizuia haki za wengine hatuitaki, Kuna haki ya msingi ya wao wawe na wanawake wa kuoa na wanawake watawa waolewe ili kupunguzia Kanisa Katoliki kesi za unyanyasaji wa Kingono na kila Siku Papa awe anatoka kuomba msamaha kwa niaba yao. Wakishaipata hiyo haki ya msingi ndiyo waanze kudai hizo zingine. Ukitoa kibanzi kwa mwenzio usisahau boriti lililo kwenye jicho lako.Lenyewe limejifungia ndani linakula divai kazi upotoshaji tu, Stupid ruachi
Ikiwa kweli tunataka tumuishi Yesu basi na tufuate mafundisho yake juu ya haki.Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani.
Askofu Ruwa'ichi ametoa kauli hiyo leo Desemba 24,2025 katika misa maalumu ya mkesha wa Krismasi iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
"Sisi tunaoadhimisha Krismasi kuzaliwa kwa mwokozi tunatakiwa kuwa watu wa haki, wewe mwana Dar es Salaam, Mtanzania je, wewe ni mtu wa haki...? Wewe ni mdau wa haki....?
Naomba kuthubutu kusema kwamba Watanzania wengi hawashabikii haki siyo wadau wa haki, Watanzania wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani," amesisitiza.
Askofu Ruwa'ichi ameeleza kuwa hana ugomvi na mtu anayeshabikia amani lakini akiwakumbusha kuwa haiwezekani kuwepo kwa amani bila haki.
Amesema haki na amani ni vitu viwili vinavyotegemeana na vyote hivyo ni zawadi inayofunganamana na Yesu mwokozi.
"Ewe Mtanzania kama utaka kujigamba kuwa mtu wa amani jitose kupigania haki, jitose kusema kweli, amani na yanayompendeza Mungu,"amesema.
Askofu huyo amehitimisha mahuburi hayo akisema Yesu Kristo aliyezaliwa kwa ajili ya wanadamu na anatambulika kwa haki, mwokozi, mwenye upendo na huruma.
Akizungumzia mafundisho hayo muumini wa kanisa hilo, Barnaba Josephat amesema hitaji la haki ni la msingi kwa binadamu kwa kuwa bila haki hakuna amani.
"Amani msingi wake mkuu ni haki, ukitenda haki amani lazima itakuwepo kwahiyo nimejifunza viongozi wetu wa kiroho wanatutaka kusimamia haki na kutoumiza watu wengine, unaweza kuishi katika utulivu lakini huna amani kwa sababu hujatendewa haki," amesema.
Kwa upande wake, Lightness Samson amesema katika kusheherekea Sikukuu za Krismasi ni muhimu Watanzania kuendelea kutenda mema pamoja na kutenda haki.
"Tuishi kwa umoja na upendo kwenye jamii tuilinde amani yetu kwa kutenda haki."
Kuwa mtawa hulazimishwi na yoyote ni maamuzi ya mtu binafsi mkuu. Hivyo wanajua pros and cons za machaguo yao.Haki ya Kuvuruga Amani ya Nchi huku ukizuia haki za wengine hatuitaki, Kuna haki ya msingi ya wao wawe na wanawake wa kuoa na wanawake watawa waolewe ili kupunguzia Kanisa Katoliki kesi za unyanyasaji wa Kingono na kila Siku Papa awe anatoka kuomba msamaha kwa niaba yao. Wakishaipata hiyo haki ya msingi ndiyo waanze kudai hizo zingine. Ukitoa kibanzi kwa mwenzio usisahau boriti lililo kwenye jicho lako.
Hatutaki kuwa na nchi inayoendeshwa kwa harakati za kipumbavu.
Ni kama sindano 💉 imekuingia hivi!Lenyewe limejifungia ndani linakula divai kazi upotoshaji tu, Stupid ruachi
Kwani masheikh ubwabwa wanasemaje?Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani.
Askofu Ruwa'ichi ametoa kauli hiyo leo Desemba 24,2025 katika misa maalumu ya mkesha wa Krismasi iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
"Sisi tunaoadhimisha Krismasi kuzaliwa kwa mwokozi tunatakiwa kuwa watu wa haki, wewe mwana Dar es Salaam, Mtanzania je, wewe ni mtu wa haki...? Wewe ni mdau wa haki....?
Naomba kuthubutu kusema kwamba Watanzania wengi hawashabikii haki siyo wadau wa haki, Watanzania wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani," amesisitiza.
Askofu Ruwa'ichi ameeleza kuwa hana ugomvi na mtu anayeshabikia amani lakini akiwakumbusha kuwa haiwezekani kuwepo kwa amani bila haki.
Amesema haki na amani ni vitu viwili vinavyotegemeana na vyote hivyo ni zawadi inayofunganamana na Yesu mwokozi.
"Ewe Mtanzania kama utaka kujigamba kuwa mtu wa amani jitose kupigania haki, jitose kusema kweli, amani na yanayompendeza Mungu,"amesema.
Askofu huyo amehitimisha mahuburi hayo akisema Yesu Kristo aliyezaliwa kwa ajili ya wanadamu na anatambulika kwa haki, mwokozi, mwenye upendo na huruma.
Akizungumzia mafundisho hayo muumini wa kanisa hilo, Barnaba Josephat amesema hitaji la haki ni la msingi kwa binadamu kwa kuwa bila haki hakuna amani.
"Amani msingi wake mkuu ni haki, ukitenda haki amani lazima itakuwepo kwahiyo nimejifunza viongozi wetu wa kiroho wanatutaka kusimamia haki na kutoumiza watu wengine, unaweza kuishi katika utulivu lakini huna amani kwa sababu hujatendewa haki," amesema.
Kwa upande wake, Lightness Samson amesema katika kusheherekea Sikukuu za Krismasi ni muhimu Watanzania kuendelea kutenda mema pamoja na kutenda haki.
"Tuishi kwa umoja na upendo kwenye jamii tuilinde amani yetu kwa kutenda haki."
Aliyekuambia Padre au mtawa haruhusiwi kuoa ni nani? Akiamua muda wowote ule anaacha na kwenda kuoa (Padre), kuolewa (mtawa wa kike).Haki ya Kuvuruga Amani ya Nchi huku ukizuia haki za wengine hatuitaki, Kuna haki ya msingi ya wao wawe na wanawake wa kuoa na wanawake watawa waolewe ili kupunguzia Kanisa Katoliki kesi za unyanyasaji wa Kingono na kila Siku Papa awe anatoka kuomba msamaha kwa niaba yao. Wakishaipata hiyo haki ya msingi ndiyo waanze kudai hizo zingine. Ukitoa kibanzi kwa mwenzio usisahau boriti lililo kwenye jicho lako.
Hatutaki kuwa na nchi inayoendeshwa kwa harakati za kipumbavu.
Wewe hata kuandika tu ni mtihani! Unajua kuchamba tu.Lenyewe tumbo kubwa haya kuhema linahewa juu juu ,eti kupugania haki..Watu sio wajinga uvunje duka au uharibu mali za mtu eti unadai haki..Kwa hiyo haki inadaiwa kwa kuchoma mwendokasi? Ujinga tu endelea na taarabu hamna nguvu katika nchi hiii.
Watu wameona kwa TEC ni underdog tangu mkataba wa DP world na juzi mmepoteza tena pambano😂😂😂
Huna hoja pinga hoja kwa hoja sio kejeliKauli zao za hovyo zinatufanya tuwaone kama walevi tu
Unawafahamu wa jumbe wa Mungu wewe?Shetani ujitambulishaye kwa jina la Kimbesa11, umelaaniwa wewe na uzai wako, Mungu wa mbinguni aliye asili ya haki na amani, tunaomba akulipe wewe na uzao wako, sawa na uovu wako wa kuwashambulia wajumbe wa Mungu waihubiriyo haki na amani.
Umeeleza hoja zako vizuri. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka jambo moja la msingi: si Waislamu wote wanaunga mkono yanayoendelea, wala si Waislamu wote wenye upeo mdogo wa kufikiri na kuchambua masuala. Vivyo hivyo, si Waislamu wote hufuata mkumbo wa upepo, wala si wote wanaohusishwa au kuendeshwa na maslahi ya kisiasa ya CCM, au kuamini kuwa kila jambo linalofanywa na rais ni sahihi kwa sababu tu yeye ni Muislamu.Uislamu unajinasibisha kama dini ya haki Sasa kwakuwa Leo kiongozi ni mwislamu mwenzao wanaikana misingi ya dini yao kwamba haki sio muhimu kesho kiongozi akija kiongozi mkristo watageukia haki na kuikana amani.
Miaka ya tisini wakati chama cha cuf kikiwa na nguvu chini ya maalim self na lipumba walikuwa na kauli mbiu ya HAKIIIIII HAKI SAWA KWA WOTEEE na cuf kilipendwa sana na waislamu kwasababu ya hiyo kaulimbiu inayoambatana na misingi ya dini yao.
Sasa Leo mashehe ubwabwa kwakuwa Samia ni mwislamu mwenzao hawaihubiri amani.
Hakika ELIMU Kwa waislamu inatakiwa ihubiriwe sana hawajitambui hawa watu. Yani ni bendera fwata upepo.
Ally kibao alipaswa kutimiza wajibu gani ili asitekwe na kuuwawa ?-Kujitosa kudai haki bila wajibu nao ni ujinga kama ujinga mwingine
-Kujitosa kudai haki kwa kuvunja haki ya mwingine nao ni usenge kama ulivyo usenge mwingine