Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

ASKOFU MKUU wa KKKT, Dk. Fredrick Shoo hajasema kuwa Kanisa la KKKT linaunga mkono Mkataba wa Bandari bali amesema wao kama viongozi wa Dini kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) walionana na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu kasoro zilizoko kwenye mkataba.

Hivyo Askofu Shoo akasisitiza kuwa ushauri na maoni waliyotoa viongozi wa Dini Rais Samia alisema amewakabidhi watalaamu wa Serikali ili kufanyia kazi maoni hayo ya viongozi wa Dini.

Hivyo akatumia fursa hiyo kumkumbusha Mh Rais kufanyia kazi ushauri wa viongozi wa dini ili kuhakikisha uwekezaji unakuwa na tija na maslahi ya Taifa.
 
ASKOFU MKUU wa KKKT, Dk. Fredrick Shoo hajasema kuwa Kanisa la KKKT linaunga mkono Mkataba wa Bandari bali amesema wao kama viongozi wa Dini kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC)...
Nae kazunguzunguuuka sana
 
Nae kazunguzunguuuka sana
Muoga,wachaga ni wakali wa fursa, pia anakumbuka hisani ya Mbowe,ndiye aliemuonbea msamaha hawezi unyea mkono,

Roman katoliki
wanauhakika na shibe,ndio maana wamechana bila chenga
 
ASKOFU MKUU wa KKKT, Dk. Fredrick Shoo hajasema kuwa Kanisa la KKKT linaunga mkono Mkataba wa Bandari bali amesema wao kama viongozi wa Dini kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC)...
SAHIHI KABISA HICHO NDICHO ALICHOSEMA wenye Akili ndogo WANAPIGA kelele kuwatukana TEC
 
Back
Top Bottom