Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,932
Reaction score
4,403
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
 
...wakae mguu sawa si lazima waondolewe wanaweza kujirekebisha tu.

Ila ungetuambia 'ukifutu' wao ni upi.
 
Samahani, hayo yanahusiana vipi na ufufuko? Ya kaisari tumwachie kaisari. Leo siku muhimu, pangua pangua ni kazi ya mama Samia si ya YESU. Leo tungeelezana habari za ufufuo.
Maharamia lazima wasemwe maana hakuna namna kwenye uongozi wa mama Samia atawacha
 
Kheri jmes aliyesema Lissu akirudi ni lethal injection
 
Back
Top Bottom