Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Kwani church siku hizi ni sehemu ya siasa,chuki na fitna?

Church ishughulikie wanakondoo na sio kuingilia yasowahusu.

Tupendane jamani,hata Yesu alikula pamoja na watenda dhambi,tena hakupenda kunyoosheana vidole,kila asie na mapungufu awe wa kwanza kunyooshea wenzie vidole.

Hakuna utawala au mtu anaweza kufit demand za kila mtu.
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
9. Biswalo Mganga- DPP
10. Adelras Kilangi- AG
11. Kilaba- DG TCRA
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Jerry Muro
 
Yaani, wewe, kwa uwezo wa kuchapa kazi na kuonyesha matokeo bayana wa Mheshimiwa Balozi Dr. Bashiru Ally Kakurwa ; ni kuendeshwa kwenye magari ya kazini lililokuwa linakupa kijiba cha roho! Kwa kweli Umasikini wa akili ni mbaya sana!
 
CCM ni chama kikubwa Nyalandu amesharejea na kijiji cha Bavicha kadhaa kutoka Ufipa!
Huo ndiyo ukomo wa kuwaza na kufikiri.

Kwa sasa watanzania wanafikiria ni vipi tutaliunganisha taifa mlilo ligawa kwa siasa za maji taka na ukabila na udini.

Wewe tena unakuja na huo uoza wa siasa za chuki kipindi hiki?
 
Back
Top Bottom