Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Kwani church siku hizi ni sehemu ya siasa,chuki na fitna?

Church ishughulikie wanakondoo na sio kuingilia yasowahusu.

Tupendane jamani,hata Yesu alikula pamoja na watenda dhambi,tena hakupenda kunyoosheana vidole,kila asie na mapungufu awe wa kwanza kunyooshea wenzie vidole.

Hakuna utawala au mtu anaweza kufit demand za kila mtu.
 
9. Biswalo Mganga- DPP
10. Adelras Kilangi- AG
11. Kilaba- DG TCRA
 
Jerry Muro
 
Yaani, wewe, kwa uwezo wa kuchapa kazi na kuonyesha matokeo bayana wa Mheshimiwa Balozi Dr. Bashiru Ally Kakurwa ; ni kuendeshwa kwenye magari ya kazini lililokuwa linakupa kijiba cha roho! Kwa kweli Umasikini wa akili ni mbaya sana!
 
CCM ni chama kikubwa Nyalandu amesharejea na kijiji cha Bavicha kadhaa kutoka Ufipa!
Huo ndiyo ukomo wa kuwaza na kufikiri.

Kwa sasa watanzania wanafikiria ni vipi tutaliunganisha taifa mlilo ligawa kwa siasa za maji taka na ukabila na udini.

Wewe tena unakuja na huo uoza wa siasa za chuki kipindi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…