Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Na yule dogo wa Arusha mjini aliyetandika watu anaitwa nani vile?
 
Haya ndiyo yalikuwa mahubiri ya leo?...[emoji849][emoji849][emoji849]..
Kwani kuna ubaya gani kuwakemea watu wa hivyo wasiyo litakia mema taifa letu tulilo achiwa na baba wa taifa tukiwa tumeungana,tunapendana?
 
Huo ndiyo ukomo wa kuwaza na kufikiri.

Kwa sasa watanzania wanafikiria ni vipi tutaliunganisha taifa mlilo ligawa kwa siasa za maji taka na ukabila na udini.

Wewe tena unakuja na huo uoza wa siasa za chuki kipindi hiki?
Nyalandu kurudi CCM ni chuki?

Wewe endelea kunywa mbege huko huko Ufipa!
 
Ila hayati magufuli alipokuwa anachafua hali ya hewa kanisani haukuwahi kuona siasa si makanisani acha unafiki
 
Na habari za YESU zitasemwa na nani kama siku ya ufufuo wapakwa mafuta wataongelea habari za panga pangua za samia?
Askofu ni kiongozi wa kiroho kwa wanadamu woote.
Kiongozi wa dini haongozi mbuzi wala kondoo.

Kiongozi wa dini kukemea maovu ndani ya jamii ndiyo kazi yake hivyo kuwanyooshea kidole hao watu wakorofi na wasiyo itakia mema nchi yetu ni moja ya kazi zake.
 
Mahubiri lazima yaakisi maisha halisi ya jamii.....dini na imani zinahusu maisha yote yote ya watu.... Ndio maana viongozi wa kisiasa hawakauki Mimbarani,hawakauki kuwaaihi watumishi wa dini/imani waombe kwa ajili ya mambo yote. Wewe ndiye unayetaka kutenga Si-hasa (maisha ya watu) na Dini/imani. KAMWE HUWEZI TENGANISHA VITU HIVI.
 
Mbona jiwe alipokuwa anageuza sehemu ya ibada kuwa jukwaa la mikutano ya ccm hukuwahi kuuliza?
 
Nyalandu kurudi CCM ni chuki?

Wewe endelea kunywa mbege huko huko Ufipa!
Daima kichaa hashauriki na safari hii tupo na mama Samia ili kuhakikisha nchi inatawalika na kuhakikisha wajinga kama nyinyi hampati nafasi tena ya kulivuruga taifa letu.
 
Ila hayati magufuli alipokuwa anachafua hali ya hewa kanisani haukuwahi kuona siasa si makanisani acha unafiki
Walifaa kumkataza basi,sasa leo hayupo mtashindia hayati this hayati that hamuoni mnatakiwa kujikosoa,acheni MUNGU amuhukumu.

Imeandikwa usihukumu ili usije ukahukumiwa nawe,au maandiko mliacha mnafata siasa?

Moja ya kazi za maaskofu ni kuwarejeza kwa upendo kundini waliopotea na sio kuhukumu.
 
Mbona jiwe alipokuwa anageuza sehemu ya ibada kuwa jukwaa la mikutano ya ccm hukuwahi kuuliza?
Mnafiki tu huyo kipindi wananchi wanadhulumiwa na kuteseka walisafisha majizi kwa sadaka zao.
 
Daima kichaa hashauriki na safari hii tupo na mama Samia ili kuhakikisha nchi inatawalika na kuhakikisha wajinga kama nyinyi hampati nafasi tena ya kulivuruga taifa letu.
Wenzako wanavhukua kadi CCM wewe unasema uko na mama wakati umelala usingizi hapo Ufipa.

Njoo uchukue kadi haraka maana zinagombaniwa!
 
Kuna mtu anaitwa BISWALO MGANGA huyu alijipa nhuvu kuliko za Mahakama

Kuna Lazaro Mambosasa alikuwa anatekeleza kila UJINGA anaitumwa na Bashite
 
Mbona jiwe alipokuwa anageuza sehemu ya ibada kuwa jukwaa la mikutano ya ccm hukuwahi kuuliza?
First of all me sio politician..
And Magu hakuwa mtumishi wa MUNGU bali muumini,sasa tofauti yake na Magu ni nini ikiwa hawezi kusamehe na kuhubiri amani na mshikamano?
 
Hata yesu aliwakemea mafarisayo kwa nguvu zote
 
First of all me sio politician..
And Magu hakuwa mtumishi wa MUNGU bali muumini,sasa tofauti yake na Magu ni nini ikiwa hawezi kusamehe na kuhubiri amani na mshikamano?
Magu alikuwa anahubiri amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…