Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Aa
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.s
 
10.
Kachemka Baba Askofu
 
Hivi ni sahihi kwa viongozi wa dini kujiingiza kwenye harakati za kisiasa.....??
 
Dini ina influence kubwa kwenye siasa ila siasa haina influence kwenye Dini.
Hivyo kazi ya kuhukumu ni ya Mungu si ya Askofu. How sure if he is perfect to God? Shame on you Askofu. Kama ni kweli lakini
 
Hivi ni sahihi kwa viongozi wa dini kujiingiza kwenye harakati za kisiasa.....??
Taasisi za dini ni miongoni mwa waathirika wa misamaha ya kodi. Kipindi cha nyuma waliingiza bidhaa za kila Aina kwa kisingizio cha kazi za jamii. Unakuta taasisi wameagiza gari na matajiri mapya 50.

Huu ujinga JPM aliukataa hakutaka mzaha. Hawa jamaa si wasafi kivileee ni wajanja wajanja sana tu.
 
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari./https://bit.ly/3sR1WwS

NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...

1. Dr. Bashiru - Huyu Rais kashafanya kazi nzuri sana. Na tayari jana karudi home kwake Msewe.... Wiki hii ndio atanunua gari lake binafsi

2. Chalamila - RC Mbeya
3. Ole Sabaya
4. Salum Hapi
5. Pole Pole
6. Mpogolo
7. Jafo - Tayari kaporomoshwa
8 Doto James
9.
10.
Mazezeta ya chadema ni mijitu ya hovyo sana.
 
JPM alisemanae kila alietaka kujinufaisha hata kama utakuja na kiremba cha ushee.
 
Ninachoongelea hapa ni mipaka na umuhimu wa siku husika ukilinganisha na mada.

Hakuna anayetaka kuwaona wanyanyua mabega wakiendelea kuwepo serikalini lakini yupo mwenye hiyo kazi na si Shoo.

YESU KAFUFUKA LEO, KWANN MADA IWE KAZI ZA SAMIA?
NANI KAKWAMBIA LEO KANISANI MADA NI KAZI YA SAMIA.?

Wapi wameandika leo ni Pasaka tu hakuna ruhusa ya kujadili Mambo mengine..?

Viongozi wa dini wamekuwa na utaratibu wa kutoa ushauri au maoni yao (WARAKA) kupitia sherehe kama hz n.k

Wewe leo usijadili wala kushauri lolote juu ya chochote ila PASAKA tu..
 
Leo ni ufufuo tu.

Kuna siku nyingi za kuongelea mambo mengine. MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu. Tumpatie siku yake aliyoleta ukombozi.
 
Huyu jamaa anajisahau sana na kujiona kuwa yeye anaweza kutoa amri hata kwenye mambo ya kiserikali na kusahau wajibu wake wa kufundisha kiimani. Waamini wake wengi hawajui tafsiri za vifungu vya biblia ndio jukumu lake na atahojiwa mbele ya haki kwa hilo suala la uongozi wa kisiasa wawaachie viongozi wa kisiasa ambao watahukumiwa kwa nafasi yao

Viongozi wa kanisa wana changamoto nyingi za kimaadili na ufujaji wa mali za kanisa, kanisa linakabiliwa na mvutano wa kimadaraka badhi ya waamini wanawaunga mkono na kuwakubali baadhi ya viongozi na kuwapinga wengine hayo ndio mambo anayotakiwa kupambana nayo kama kiongozi wa kanisa na sii kutoa watu matongotongo wakati hicho lake limefunikwa na bonge la boriti

Hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa madhehebu makuu mawili ya kikristo mkoani kilimanjaro ambao hujiona ni zaidi ya viongozi wa dini na kujiona wao ni MANGI wakuu hili linatokana na heshima kubwa na uoga wa waamini wao mbele yao na kuanza kufanya majukumu hata yaliyotakiwa kufanywa na serikali saa nyingine wana abuse mpaka human right .Unakuta baadhi ya sehemu vijijini wanafanya misako ya gongo, pombe za kienyeji na bangi na kutoa adhabu physical hili tatizo lipo

Bado akili zao vipo nyakati za MEDIEVAL wakati dini na serikali vilikuwa havitenganishwi wakati wa TWO SWORD concept. Waacheniviongozi wa kiserikali wafanye majukumu yao na ninyi tekelezeni wajibu wenu. Hayo manyaraka yenu na matamko yenu dhidi ya serikali yanachangia sana ku frustrate viongozi katika kutimiza wajibu wao.

Hakuna uongozi wowote duniani ambao watu wote waliwahi kufurahishwa, fuatilia kwenye biblia, kwenye Quran utaona jinsi Mungu mwenyewe alikuwa anaongoza baadhi ya mataifa kulingana vita vya mapanga kwa watu walio kinyume.
 
Pole pole na kile kipindi chake cha Kero jumamosi. Ila Mungu mkali jamani.
 
Hayamhusu huyo makengeza, asubiri serikali ya Chadema ambayo haitakuwepo ndio aielekeze, wachaga wana matatizo sana
 
Huyu hakuwa kati ya wale waliokuwa wanasema yule ni Chaguo / Zawadi ya Mungu ?
 
Samahani, hayo yanahusiana vipi na ufufuko? Ya kaisari tumwachie kaisari. Leo siku muhimu, pangua pangua ni kazi ya mama Samia si ya YESU. Leo tungeelezana habari za ufufuo.
Samia hajawahi kusema lugha ya kiaskofu ya "Tumsifu Yesu Kristo." Inakuwaje huyu askofu aseme lugha ya kitawala ya "wajiandae kuondoka?" Anapata wapi madaraka hayo? Seperation of state and religion iko wapi?
 
Back
Top Bottom