Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Ametoa maoni yake,mahakama siyo MUNGU
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Ukiambiwa uielezee serikali ya Tanzania kwa njia ya picha, utachora picha ya kitu gani? Huo mchoro wa piacha ya serikali ndio na wewe unataka iwe hivyo?
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakama

KWANI WAO SERIKALI WALIPATA WAPI NGUVU ZA KUMBAMBIKIA MBOWE KESI YA UGAIDI...NI RAHISI SANA HATA WEWE UKITAKA UTAPATA HIZO NGUVU
 
Kwani tafsiri ya serikali ya kidemokrasia ni nini vile ?

Hebu tujikumbushe maana kisha itakuwa rahisi kumuelewa Askofu Shoo
Hapo Kama utaona wakukujibu. Hata yule aliesema mkamuulize aseme ukweli. Askofu shoo haogopi kaamua kuchana mkeka.

Wale washambuliji wa Mbowe wanapoteana mmoja mmoja. Mwisho atabaki alieombwa awe shahidi namba moja akisaidiwa na yule wa kisongo upande wa washtakiwa.

Nashindwa kupata picha maaskofu wachungaji, mapadre na mashehe wakiitasha maandamano nchi nzima itakuwa je? Naona Kama njia ile ya DRC inakuja.

Mahakama nayo inapenda kila mtu awe huru ila asivunje sheria. Yaani nguvu zote zilizotumika ndiyo hiyo iliyosomwa mahakani juzi?
Siri kali itawaambia Nini dunia inayofuatilia kwa zile mbwembwe za kumkamata mbowr?

Mbona wauwaji hawatumii nguvu kubwa vile
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?

Huyo askofu ni kwamba kapata ujasiri tu wa kuongea hadharani, lakini huo ni ukweli unaofahamika na watu wote wenye akili timamu.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mahakama uchwara hizi zisizo huru au!?
Hauhitaji kuwa na nguvu au degree kujua kesi ya Mbowe ni ya kutengeneza.

Polisi wetu ni wajinga kiasi cha kutabirika nini wanafanya.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kwani uongo kila kitu kipo wazi?!
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Baba askofu Mungu wangu ninayemwabudu akubariki Sana huo ndio ukweli ambao hata sisi makapuku tunauona ila viongozi wa dini wanapokaa kimya inaumiza na kukera Sana
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Rais samia alipata wapi nguvu na ujasiri wa kumuhukumu mbowe wakati kesi ipo mahakamani?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Askofu shoo ni mojawapo wa mabwanyenye wa kimachame na ni mfuasi wa chadema. Analeta siasa za chadema kwenye uaskofu wake. Ajue kkkt sio kanisa la wanachadema na walutheri hawajamtuma kutumikia familia ya mbowe. Kama askofu ajue hatakiwi kuleta hisia zake binafsi kwenye utumishi wake.
 
Back
Top Bottom