Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mtumishi wa Mungu huyo .! Ana maono ya haki anachokisema kinatoka rohoni na si mdomoni hamna undumilakuwili moyoni mwake.
 
Jaribu kutumia brain.

Ugaidi wa laki 6 ndio upu huo.

Tutumie siasa za ushawishi.
 
Mimi ni mlutheri na nakunywa bia kunae shida?
Wewe unajiita mlutheri kwa sababu wazazi wako Ni walutheri.
Mimi ni mlutheri na nakunywa bia kunae shida?
Wewe Ni mlutheri jina Kama walivyo wanaotumia majina ya kiislamu lkn uislamu hawaujui na hawaufuati.
Utakuta mtu anaitwa Abdulkareem lkn uislamu anaoufanya Ni kuto kula kitimoto hadharani.
Gesti yeye, lodge yeye, k vant yeye mabibi yeye mppaka wake za watu.
Qur'an haijui hata nyumbani Hana. Jumbani yake hukuti hata kitabu kimoja Cha dini ya kiislamu. Lkn yeye anajiita muislam.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?

The court should impose a gag order on this kind of loonies!
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?

Mbowe sio gaidi.

Watu walikuwa wanasubiri ushahidi kumbe ni ugaidi wa laki 6 na njama ya kulipua vituo hahaha ,subiri kbatala awaonyooshe....Jambazi Ole sabaya na mzee wa sisitivii watahitajika mahakamani wasikimbie tu.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Nguvu yake imetoka kwenye mambo mawili:
1. Ukabila - yeye na mbowe ni kabila moja.
2. Ukamanda - Naamini baba askofu kama siyo mwanachama basi ni mfuasi wa kindakindaki wa chadema.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Haja hukumu ameshauri wenye mamlaka kuwacha kuyatumia vibaya. Uonevu haujawahi kuwaacha wanayeonea salama. Uonevu huwakomaza wanaoonewa dhidi ya waonevu. Uonevu inawajengea wanaoonewa sauti moja na nguvu dhidi ya waonevu.
 
Tunawahitaji maaskofu Desmond Tutu, Njoya, Kipsang Arap Muge wa Tanzania kwa ajili ya kusema ukweli na kusimama imara dhidi ya uonevu ya watawala.
Mtumishi wa Mungu huyo .! Ana maono ya haki anachokisema kinatoka rohoni na si mdomoni hamna undumilakuwili moyoni mwake.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Je kuna ukweli mwingine tofauti na huo?
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kesi inayoheshimu sheria isingetolewa maamuzi na mamlaka ikijua iko mahakamani.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kwani serikali haijawahi kumuonea mbowe?
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Hata wewe huitaji akili ya kuwa umesomeka Sheria au kuwa na IQ kuubwa Sana, Mbowe anatuhumiwa kufadhili ugaidi Kwa Tsh laki 6, narudia, LAKI 6, maana halisi ya ugaidi kila mtu anaijua. Kama hujui hata bastola ndogo yenye thanani hafifu kuimiliki hata Kwa njia isiyo halali ni zaidi ya $ 500 kuinunua.
Kuna mtu alipigwa risasi 38 eneo la viongozi Dodoma, hakuna RB hadi leo!!! Halafu unauliza Askofu Shoo anapata wapi ujasiri, brother, ni swala la muda tu, Time will Tell
 
Back
Top Bottom