Kila mwenye akili na mkweli wa nafsi yake, anajua kuwa Serikali imembambikia kesi Mbowe.Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mkuu kama kesi ya Mbowe ipo mifano ya nini? Tusubiri mahakama iamue. Au msali na muombe mahabusu zifunguke atoke.Kila mwenye akili na mkweli wa nafsi yake, anajua kuwa Serikali imembambikia kesi Mbowe.
Kesi zote dhidi ya wapinzani, Serikali huwa inawabambikia. Na mifano ipo mingi.
Ni ujinga na uwendawazimu wa hali ya juu, ni ushetani, na ni uovu unaofanywa na mashetani yaliyo katika maumbile ya wanadamu,, kuwabambikia watu kesi, kisha kuwapitisha kwenye mahakama, halafu baadaye kuwaachia, huku wakiwa wamewatesa, wamewasumbua na kuwapotezea watu muda.Mkuu kama kesi ya Mbowe ipo mifano ya nini? Tusubiri mahakama iamue. Au msali na muombe mahabusu zifunguke atoke.
Huyo askofu ni mpumbavu na mkabilaHomilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kuwa Mkuu wa Kanisa maana yake ndo kawa malaika, kwamba kila anachosema ni sahihiWewe unapata wapi nguvu ya kumpinga Baba Askofu Dr Shoo ambae ni Mkuu wa KKKT na Mkuu wa CCT.
Huyu si Askofu Rashid au Nabii Geodav
Askofu amepata nguvu ya kuhoji kupitia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani
Mungu Muweza, Mfalme wa Wafalme,Bwana wa Mabwana, aliyeweza kuondoa wenye kuonea duniani, Atamtoa Kwa Kishindo na Wewe utabaki na Aibu. Muda utasema. Yu wapi mtesi wa Mandela?Mung mna nguvu hizo mtoeni basi mahabusu tuone
Vituo gani Mbowe alitaka kulipua?taja kimoja tu ambacho kipo kwenye Hati ya mashitaka.Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
wapi kasema inamuonea? Unatunga maneno ya mitaani unaleta hapa. Leta clip kuonsha kuwa kasema maneno hayoHomilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kwa hiyo kila MTU ,MTU wake akishitakiwa ,unapaaza sauti .Askofu shoo ,hii ni ya sheria.Mbowe sio Malaika.Kama hana kosa ataachiwa tu.Sasa na Askofu wa wasabato aishutumu serikali kuhusu Sabaya.Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kuna vitu havihitaji ushahidi, you just take judicial notice of them, simple like that!Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Hawa siyo Maaskofu wa Kujipachika. Archana nao kabisaa Kwa kuwa huwezi hata kufunga Gidamu ya Viatu vyao. Kawakebehi hao uliowazoea hukoKwa hiyo kila MTU ,MTU wake akishitakiwa ,unapaaza sauti .Askofu shoo ,hii ni ya sheria.Mbowe sio Malaika.Kama hana kosa ataachiwa tu.Sasa na Askofu wa wasabato aishutumu serikali kuhusu Sabaya.
Huyu ni mtumishi wa Mungu. Ametumwa kukemea yasiyo mpendeza MunguHomilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Walileta move kwenye kikao cha maaskofu wa KKKT kuunga mkono CHADEMA na mgombea Lowasa, sababu ni KKKT mwenzao, lakini maaskofu wachache wenye akili kama Malasusa waligoma, kilichofuata ni kujenga chuki dhidi yao! Huyo ndiye Shoo.Askofu shoo ni mojawapo wa mabwanyenye wa kimachame na ni mfuasi wa chadema. Analeta siasa za chadema kwenye uaskofu wake. Ajue kkkt sio kanisa la wanachadema na walutheri hawajamtuma kutumikia familia ya mbowe. Kama askofu ajue hatakiwi kuleta hisia zake binafsi kwenye utumishi wake.
UKIWAACHA UMEWAOGOPA UKIWACHUKULIA HATUA UMEWAONEA (THE VICTIM CARD)Hivi panahitajika akili gani hadi sasa kujua makòsa ya Mbowe ni ya kutengenezwa? Hata uvae miwani ya mbao kila kitu kipo wazi.. kwa sababu;
1.Hivi ukijiuliza kauli ya Samia BBC eti Mbowe alikimbia nchi unaelewa nini? Kwamba alifahamu Mbowe ni gaidi akamfungulia akaunti ili aendeleze ugaidi? Akampa na pole ya kufiwa gaidi?
2.Mimi sio mwanasheria ila hati za mashtaka zinaleta ukakasi kwamba mtu anapaswa kuitwa gaidi kwa kupanga mauaji ya mtu mmoja? Kwamba laki 6 ilitumika pia kufadhili ugaidi? Kituo kipi cha mafuta kimechomwa?
3.Mbowe alikamatwa kwa sababu ya katiba mpya huo ugaidi ni kumkomesha tu ili akae kimya.. Nadhani kuna watu wanamwambia mama mbona enzi za mwenzako walikua kimya? Vaa roho ngumu wanyooshe bila ivyo watakusumbua..
4.. Askofu hajaongea jipya ila kavaa tu ujasiri wa kusema lililo wazi.. Mbatia, Lipumba, Zito, mabalozi na wengineo wamekua na maoni haya haya..
Kiufupi kwenye hii case kivyovyote watakavyoamua maana mahakama ni zao inawashusha sana credibility ya kutenda na kusimamia haki, Hapa ndio unaona umuhmu wa katiba mpya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app