Hivi si uchaguzi wao ndio walihongana mapesa?Walileta move kwenye kikao cha maaskofu wa KKKT kuunga mkono CHADEMA na mgombea Lowasa, sababu ni KKKT mwenzao, lakini maaskofu wachache wenye akili kama Malasusa waligoma, kilichofuata ni kujenga chuki dhidi yao! Huyo ndiye Shoo.
Una matatizo sana, ila kama wew ni ccm you are right, si wajua wanaccm huwa hawana.....Mbowe ni malaika hakksei wala hajawahi kukosea na kuna siku alinguka akiwa amelewa chakari bado nyumba wakawa wanamtetea
Kuwa kashambuliwa na wasiojulikana
Hivi wewe kwa akili yako unafikir kuna watu special sana kutawala hii nchi? Kuna maana gani ya kuwa na taratibu na katiba ambayo sirikali hawaifuati? Unawaacha kwa matakwa yako? Unawachukulia hatua kwa matakwa yako?Acheni ujinga, utashi wa mtu haufai kuongoza nchiUKIWAACHA UMEWAOGOPA UKIWACHUKULIA HATUA UMEWAONEA (THE VICTIM CARD)
Mkuu mada iliyoko mezani si nani anatawala wala katiba mpya- usitupeleke huko.Hivi wewe kwa akili yako unafikir kuna watu special sana kutawala hii nchi? Kuna maana gani ya kuwa na taratibu na katiba ambayo sirikali hawaifuati? Unawaacha kwa matakwa yako? Unawachukulia hatua kwa matakwa yako?Acheni ujinga, utashi wa mtu haufai kuongoza nchi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unaikumbuka case ya rwakatare?Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Kila mtu humu jamii forum au huko uraiani?Mbona masheikh wa uamsho kila mtu alisema walikuwa hawana hatia, walipata wapi ujasiri ni kesi ilikuwa bado mahakamani?
Nimekutukania wazazi wako na familia yako yote.Kumbuka Jina anaitwa Shoo
Tribalism
Majibu ya maswali yako yako mbele yako MAHAKAMANIUnaikumbuka case ya rwakatare?
Unakumbuka alichosema mwigulu bungeni juu ya kesi ile?
Unakumbuka leo rwakatare yupo wapi?
Unaweza Kula njama na kumsababishia majeraha mtu?
Gaidi ni nani?
Alilipua kituo gani cha mafuta? Kiko wapi???? Kinamilikiwa na nani?
Swali: SSH na Sirro walipata wapi guvu za kumhukumu Mbowe kuwa ni gaidi?Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Unadhani intelegensia ya kanisa tena KKKT ni Ndogo kiasi hiki?!!...Kuna Mawaziri,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wabunge,wakuu wa mikoa,wanaccm,cut,act, etc waumini wa KKKT au unadhani ni kama makanisa ya kuigiza!!... KKKT ni moja ya Taasisi kubwa hapa Nchini au hili Unataka ufundishwe pia!!!..Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
HIVI MOJAWAPO YA SIFA YA KUWA TAGA NI LAZIMA UWE KILAZA?!Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mkuu umesema ameiTUHUMU. Hukusema ameiHUKUMU.Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Ndugu ,ungejibu hoja yangu kwamba hii ni nchi ya sheria.Ndio maana Mbowe kesi yake IPO mahakamani.Kwann huyu sijui mchungaji aingilie?Isitoshe ,siamini katika watu .Naamini Mungu wa mbinguni.Inaonekana unaamini watu sio mungu wako.Huyo mchungaji wako Shoo ni MTU tu kama watu wengine.Amezaliwa kwa sexual intercourse ya Mme na mke.Ni binadamu wa kawaida tu.Kwa hiyo usinipangie cha kuongea kwa kuwa una Mungu Shoo.Hawa siyo Maaskofu wa Kujipachika. Archana nao kabisaa Kwa kuwa huwezi hata kufunga Gidamu ya Viatu vyao. Kawakebehi hao uliowazoea huko
Hapo Kuna Askofu au Kuna mhuni aliyejifanya Askofu!??Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Shoo mwenyewe hakuona uzinzi wa mbowe sasa unadhani ataona hilo?Wewe unapata wapi nguvu ya kumpinga Baba Askofu Dr Shoo ambae ni Mkuu wa KKKT na Mkuu wa CCT.
Huyu si Askofu Rashid au Nabii Geodav
Kwa hiyo?Unadhani intelegensia ya kanisa tena KKKT ni Ndogo kiasi hiki?!!...Kuna Mawaziri,wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,wabunge,wakuu wa mikoa,wanaccm,cut,act, etc waumini wa KKKT au unadhani ni kama makanisa ya kuigiza!!... KKKT ni moja ya Taasisi kubwa hapa Nchini au hili Unataka ufundishwe pia!!!..